Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,411
Unasikia mtu anasema naomba niombee huu unafiki kabisa
Naona taratibu zile ibada za kumwombea na kuhimiza kumwombea zimeanza kutokomea gizani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasikia mtu anasema naomba niombee huu unafiki kabisa
Yaani wewe, na waliokupa like.. AIrbag na Kiwavi.... hamna maanaMtanyooka tu
Tuungane na Rais ambae anajuwa kabisa kila linaloendelea? Kwani kinana kafa? Mpemba je? Wale wabunge wa CCM?.....Kifuatacho ni kwa majahili hawa kutoroka nchi. Tuungane na Rais kupambana na ufedhuli huu.
Tuache mzaha, nchi unaumizwa sana. Ujangili unamaliza rasilimali hii adhimu
Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.
Wazalendo tusimame imara.
KESI IKO MAHAKAMA IPI NA LINI UAMUZI HUO UMETOLEWA? JE UNA UHAKIKA HAO WATU WA SERIKALI WAMEIWASILISHA KAMA ULIVOSEMA KWENYE HEADING MANYERERE? Kesi nyingine zinazokosa ushahidi wa kutosha ktk uhujumu na hao Vijana wa DPP wanabadilisha charge na wewe unabakia na taarifa ya awali...Hebu tendeeni haki profesional za watu.....JPM hasaidiwi kwa kumuongopea bali kumpa taarifa za usahihi....Kujenga kesi, kukusanya ushahidi, na kuithibitishia mahakama ....ni process inayotaka uadilifu mkubwa na kuheshimu haki za pande zote.....Naamini Manyerere huna fact na umeamua kuwachafua Mahakama na kuwaacha wanaoharibu kesi hizo Mahakamani....Manyerere tunaomba kujua Mahakama ni ipi? Hakimu ni nani? Waendesha Mashitaka ni kina nani? Na je wamepewa dhamana kwa KESI YA UHUJUMU UCHUMI AU UMEKOSEA ? Hebu leta fact hizi ulinde heshima uliyo nayo kwa sisi wasomaji wako....JF tunaomba fact kwenye hili.....Kama ni Uzalendo basi fact zije hata kama kukiri kukosea na kukiri ni UzalendoKifuatacho ni kwa majahili hawa kutoroka nchi. Tuungane na Rais kupambana na ufedhuli huu.
Sijaelewa kama unafafanua au unatetea .isome vizuri sheria ya Uhujumu uchumi ama Ujangili....halafu uje na FACT KAMA KWELI HAINA DHAMANA au La! Dhamana ipo toka high court ama dpp wasipoipinga it is given
Kaka Manyerere come out and correct me
si vema kuupotosha umma ktk issue za kisheria....mnajenga chuki unneccessary......Nimekupa fact kuwa hizi kesi zina dhamana lakini ni jukumu la DPP pia kuhakikisha kuna vigezo ambavo mahakama itakubalian nao....usipofanya hivo si haki kuwapakazia watu wa mahakamaSijaelewa kama unafafanua au unatetea .
MmhKifuatacho ni kwa majahili hawa kutoroka nchi. Tuungane na Rais kupambana na ufedhuli huu.
Kumbuka ya Ditopile aliua kwa kukusudia mbele ya abiria bado akapewa dhamana. Kuna washukiwa wa vijijini ambao muuaji hajulikani lakini bado wanasota miaka kumi na zaidi. Sheria ni msumeno kwa wanyonge lakini ni mafuta kwa wenye nacho. Mwisho wa siku hawafaidi. Dito yupo wapi?? kufia guest???Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.
Wazalendo tusimame imara.
Kuwaita wenzio fisiemu sio staha wala busara.Lema alie ota ndoto ananyimwa dhamana kwa maelekezo toka mbinguni,lakini hawa wanaomaliza rasilimali zetu wanapewa dhamana?.
Kweli mktaa pema pabaya panamwita(watu walikataa mabadiliko sasa wanaitwa na fisiemu).
Katika mada post nzima niliyoandika neno fisiemu ndio neno limelokukera?.Kuwaita wenzio fisiemu sio staha wala busara.
Watu wa aina yako ndo wanaoharibu utamu na umuhimu wa mijadala yenye manufaa kwa taifa na mambo yenu ya kipuuzi...
Hizi "fisiemu" na "nyumbu" zikae mbali na huu mjadala.
na ye lema je??isome vizuri sheria ya Uhujumu uchumi ama Ujangili....halafu uje na FACT KAMA KWELI HAINA DHAMANA au La! Dhamana ipo toka high court ama dpp wasipoipinga it is given
Kaka Manyerere come out and correct me
Kila kesi inaamuliwa kwa hoja zake na ushahidi wake.Katika mada post nzima niliyoandika neno fisiemu ndio neno limelokukera?.
Kwa nini huzungumzii uhalali wa hawa majangili kupewa Dhaka,na Lema kunyimwa dhamana?.
YA LEMA NINI KOSA LA MAHAKAMA? AU HAKIMU..... HATA LEAMA MWENYEWE ANATAMBUA MAHAKAMA INAMTENDEA HAKI ILA WASHITAKI WAKE WANAWATANGULIA KIMEDANI MAWAKILI WAKE...ALL IN ALL HAKI YAKE IKO NA HATAIPOTEZA CHA MUHIMU MAHAKAMA IRIDHIKE NA UTETEZI WAKE...na ye lema je??
unatete uozo wa LUMUMBA