morenja
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 4,519
- 1,853
Inawezekana kumbuka hii kesi iligomewa na DPP na washtakiwa kwamba kesi imeletwa kimakosa kwenye mahakama hiyo .Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.
Wazalendo tusimame imara.