Wasichana 5 bora wanaoongoza kwa uzuri Bongo Movie


mariam mbewa ndio mpango mzima
 

Mkuu mtoe wema hapo weka toto la kichaga mtoto mwenye macho mazuri sauti, umbo na mengiyo miss wolper ambae akitokezea tu kwenye anga zangu namhonga nyumba
 
Duh kila mtu na taste yake mimi namba moja weka Asha Boko alafu endeleza list iwe MIZIGO ile miss Bantu maana kwangu urembo unaanzia hapo.
 

Naunga mkono hoja huyo Wellu Sengo ni shida hao wengina sina uhakika..nimewona kwen movie ya JB ni sheeder

Cc Asprin kwa ufuatiliaji
 
Last edited by a moderator:
MBONA SIJAONA JINA LA
RIYAMA ALLY na Irene Paul,,,,,???
Mkuu you are not fair at all.
 
Wellu sengo ni kifaa namuelewa sana
Yaani hata nyumba ya urithi naweka bondi kwa huyu mtoto.
 
Naomba picha zao wote please, ilaaa Wema big No.
 
kazi kweli na hizi mulugo umeulizwa swali jibu...sio unaanza personal attack ungesema hao sio wazuri sio wana watoto pyeeeee mamako kukuzaa wewe kawa mbaya???

Pole Evelyn Salt, amekukwaza huyo. By the way una watoto wangapi?
 
Wellu Sengo mzuri kwa sura na shepu, ila ni malaya saaaaaana.
Kamlia sana kaka angu pesa zake za urithi.
Alivyoona zimeisha akamkimbia

ukiona hivyo ujue kaka yako ni -----
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…