Mshikemshike
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 421
- 210
Wema ni mzuri sana ila mambo yake tu ndo shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katika game ya bongo movie wapo wanawake wengi sana waliojaaliwa uzuri wa sura na maumbo kupitia maoni ya watu kadhaa nimepata list fupi ya wadada watano ambao ni warembo na wenye mvuto zaidi nao ni 1.welu sengo,2.yobnesh yusuph(batuli),3.wema sepetu:what:,4.lulu michael,:what:5.irene uwoya,:what😱rodha hii ni kwa maoni ya watu niliozungumza nao na mimi mwenyewe toa maoni yako.
Katika game ya bongo movie wapo wanawake wengi sana waliojaaliwa uzuri wa sura na maumbo kupitia maoni ya watu kadhaa nimepata list fupi ya wadada watano ambao ni warembo na wenye mvuto zaidi nao ni 1.WELU SENGO,2.YOBNESH YUSUPH(BATULI),3.WEMA SEPETU,4.LULU MICHAEL,5.IRENE UWOYA,orodha hii ni kwa maoni ya watu niliozungumza nao na mimi mwenyewe toa maoni yako.
i know the girl,
ni lucky peter
she is cute na anaweza then alianza na mr tues kwenye jumba la dhahabu yule alikua anaitwa mikala
Uandae na ARV's kabisa.
Katika game ya bongo movie wapo wanawake wengi sana waliojaaliwa uzuri wa sura na maumbo kupitia maoni ya watu kadhaa nimepata list fupi ya wadada watano ambao ni warembo na wenye mvuto zaidi nao ni 1.WELU SENGO,2.YOBNESH YUSUPH(BATULI),3.WEMA SEPETU,4.LULU MICHAEL,5.IRENE UWOYA,orodha hii ni kwa maoni ya watu niliozungumza nao na mimi mwenyewe toa maoni yako.
best nini kinazungumzwa hapa..........
mgeweka picha zao,kisha tuanze....
kazi kweli na hizi mulugo umeulizwa swali jibu...sio unaanza personal attack ungesema hao sio wazuri sio wana watoto pyeeeee mamako kukuzaa wewe kawa mbaya???
Pole Evelyn Salt, amekukwaza huyo. By the way una watoto wangapi?
Kabisaaaa mi namkubariii sana yule mremboBongo movie tupa kulee,warembo ma scandal.Mimi namzimia Irene Kiwia mrembo wa ukweli.
Wellu Sengo mzuri kwa sura na shepu, ila ni malaya saaaaaana.
Kamlia sana kaka angu pesa zake za urithi.
Alivyoona zimeisha akamkimbia