Wasichana 5 bora wanaoongoza kwa uzuri Bongo Movie

Wasichana 5 bora wanaoongoza kwa uzuri Bongo Movie

iron finger

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
358
Reaction score
220
Katika game ya bongo movie wapo wanawake wengi sana waliojaaliwa uzuri wa sura na maumbo kupitia maoni ya watu kadhaa nimepata list fupi ya wadada watano ambao ni warembo na wenye mvuto zaidi nao ni 1.WELU SENGO,2.YOBNESH YUSUPH(BATULI),3.WEMA SEPETU,4.LULU MICHAEL,5.IRENE UWOYA,orodha hii ni kwa maoni ya watu niliozungumza nao na mimi mwenyewe toa maoni yako.
 
Kama ningejua vgezo ningesema lkn cjui nasepa
 
Wema atolewe hapo.Ana tako la mchina, shes fake
 
Katika game ya bongo movie wapo wanawake wengi sana waliojaaliwa uzuri wa sura na maumbo kupitia maoni ya watu kadhaa nimepata list fupi ya wadada watano ambao ni warembo na wenye mvuto zaidi nao ni 1.WELU SENGO,2.YOBNESH YUSUPH(BATULI),3.WEMA SEPETU,4.LULU MICHAEL,5.IRENE UWOYA,orodha hii ni kwa maoni ya watu niliozungumza nao na mimi mwenyewe toa maoni yako.

mzuri mimi tuuuuuuu
 
Wellu Sengo mzuri kwa sura na shepu, ila ni malaya saaaaaana.
Kamlia sana kaka angu pesa zake za urithi.
Alivyoona zimeisha akamkimbia

Nimecheka mpaka basi kwa hiyo kaka yako alikuwa buzi anachunwa hela zilipoisha akapigwa kibuti ama wanaume wa kuchuna siku hizi ni wachache sana.
 
Batuli ni jimama na lina watoto, lrene kadhalika, waondoe hapo hawana chance.
 
Back
Top Bottom