iron finger
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 358
- 220
Katika game ya bongo movie wapo wanawake wengi sana waliojaaliwa uzuri wa sura na maumbo kupitia maoni ya watu kadhaa nimepata list fupi ya wadada watano ambao ni warembo na wenye mvuto zaidi nao ni 1.WELU SENGO,2.YOBNESH YUSUPH(BATULI),3.WEMA SEPETU,4.LULU MICHAEL,5.IRENE UWOYA,orodha hii ni kwa maoni ya watu niliozungumza nao na mimi mwenyewe toa maoni yako.