We una nini.....mimi nina dushe na sivai boxer chafu, walitaka mdomo mwako hilo dushe?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] nacheeka kwa dharau sana! Wewe usifikiri kila mwanamke ni wa type yako!! Kiufupi tu we humfikii mume wangu hata kidogo, yaani hata manukato yake hufanani nae
Kiufupi tu nimekuuliza kwa sababu for so Long tumeamimishwa mwanaume mwenye kikoromeo ni mwanaume aliyebarikiwa mwenye uvumilivu na uwezo wa kustahilimili mambo
"ndio maana wanaume wa zamani karibu wote walipewa kikoromeo". Sasa nyie wavulana wa Leo mliopewa shingo mororo ndio mnataka kushida humu msindane na Dada zenu,off course mimi ni Dada yako lakini huna sababu ya kuniheshimu sababu hujapewa kikoromeo
Uume hata mtoto aliyezaliwa leo na hata yule wa darasa la 7 anao kwaiyo tuliza akili hiko sio kipo cha uanaume wako
*Mwanaume wa kweli ni mlinzi kwa mkewe (girlfriend wake)
*Mwanaume wa kweli ni mwelevu na sio mbea kama mfanyavyo nyie, kama kuna tatizo kwenye mahusiano yake humuita mwenzi wake na kukaa nae chini kisha kumueleza hivi na hivi sio
*Mwanaume wa kweli ni mwalimu ma kiongozi wa familia yake (kitu ambacho wewe huna na umejaaliwa matusi) hope sifa za Mwl na kiongozi unazijua basi Huyo ndio mwanaume wa kweli
*Kinywa cha mwanaume rijali hutamka maneno yenye kujenga ndani yake na sio Yale yenye kuchefua moyo
NB.yote hayo walifundishwa wakiwa jando, muulize baba yako atakwambia