Wasichana kuvaa nusu utupu ni kutafuta soko au fasheni?

Wasichana kuvaa nusu utupu ni kutafuta soko au fasheni?

amshapopo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
1,834
Reaction score
4,161
Imekuwa ni hali ya kawaida kwa baadhi ya dada zetu kuvaa nguo zisizo na maadili.

Je hii ni kwaajili ya kutafuta soko au fasheni. Na je wazazi wako na ndugu zako wanakuchukuliaje, na wewe mwanaume ambaye upo kwenye mahusiano unajionaje mwezi wa anavyovaa nusu utupu?
 
kuvaa avae yeye we kinakuuma nini achen ushamba ya kiji.nga. Fanya yako
 
wanatunza mila zao, mabibi zamani walikua wanavaa hivyo.... tena walikua uchi zaidi yao
 
hata pilau ukianza kuvuta harufu toka viungo vinatwangwa huwa nakuwa nahisi nimeshiba, sasa kuona ona pasipo mpango kunafanya hata ladha kupungua.
but sio kwa wote kuna vyuma vikisha ona kunakuwa na extra charger.
 
Back
Top Bottom