Wasichana kuvaa nusu utupu ni kutafuta soko au fasheni?

Wasichana kuvaa nusu utupu ni kutafuta soko au fasheni?

Hebu tuweke unafiki pembeni...mwanamke aliyepiga mini na aliyepigilia baibui, yupi anavutia macho yako?
 
Kuvaa nusu uchi kwa wanawake kunatusababishia upungufu wa nguvu za kiume.. sababu tunaona mno nyet zao kias ambacho hata ukiwa nao chumbani huon jipya mtoto kavua nguo lakini hata jogoo hashtuki mpaka anyonywee... wakat zaman ukiona paja tu ushadinda
 
Vidole vyako havijapishana??
Kuna siku nilikuwa nimekaa na mwanangu flani hivi akapita jamaa mbele yetu kasuka ile style ya Alicia Keys kipindi kile cha Fallin jamaa akaniuliza hivi huyu jamaa anajisikiaje kusuka kama mwanamke na mimi nikamuuliza hivi bro unajisikiaje unavyonyoa upara...................................................................................:cool2:
 
Mi nahisi wanata kurudi kama ilivyokua enzi za adamu na hawa kabla hawajala tunda. Si nasikia walikua hawajavaa kitu?

Ila aisee niseme ukweli mimi hata wakivaa ma baibui, kichwa ikiwa idle natamani tu. Tena ndio imagination inakua noma. Actually nahitaji maombi kabisa!
 
Wanawake hao wanateswa na jini mahaba kwa kuwatembeza uchi; hawatosheki na waume zao na wengine waheshimiwa kisiasa nk !
 
Hebu tuweke unafiki pembeni...mwanamke aliyepiga mini na aliyepigilia baibui, yupi anavutia macho yako?

Acha ushamba dogo,apige mini au bikin anapaswa kumvutia mumewe tu tena chumbani na sio kumvutia kila mwanamume mtaani,huo ni Umalaya.
 
Back
Top Bottom