Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe utupu unaanza kupimia wapi? tuanzie hapo
utupu WA mwanamke unaanzia kwenye magoti kwenda juu
wewe utupu unaanza kupimia wapi? tuanzie hapo
Kuna siku nilikuwa nimekaa na mwanangu flani hivi akapita jamaa mbele yetu kasuka ile style ya Alicia Keys kipindi kile cha Fallin jamaa akaniuliza hivi huyu jamaa anajisikiaje kusuka kama mwanamke na mimi nikamuuliza hivi bro unajisikiaje unavyonyoa upara...................................................................................:cool2:Vidole vyako havijapishana??
Hebu tuweke unafiki pembeni...mwanamke aliyepiga mini na aliyepigilia baibui, yupi anavutia macho yako?