miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Hapo tu sijaelewa, yaani sawa kivipi!
kwamba utupu tunatafsiri tofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo tu sijaelewa, yaani sawa kivipi!
Hapana mkuu. ...sasa navaaje nusu utupu....mi sivai kila fashion
Acha ushamba dogo,apige mini au bikin anapaswa kumvutia mumewe tu tena chumbani na sio kumvutia kila mwanamume mtaani,huo ni Umalaya.
weka picha
bila picha hii mada haiendi
Tupia picha mkuu
yeah mkuu.wengine hatuwezi kusoma .kapicha ka kusupport mada kahusike humu
Wavae tu tupendezeshe macho
Hebu tuweke unafiki pembeni...mwanamke aliyepiga mini na aliyepigilia baibui, yupi anavutia macho yako?
Figure ya mwanamke mzuri hata kama yupo ndan ya baibui inasomeka tu mkuu, kuna figure hata ikipga mini vp kitu kitazid kusema charger not supported!