Wasichana kuvaa nusu utupu ni kutafuta soko au fasheni?

ni kutokujiamini mwishoni wanatumia maungo yao kujenga kujiamini.na bussiness purposes inahusika
 
aliyepiga mini ilimradi isiwe juu ya magoti....
Baibui ni utamaduni wa wengine wa kiarabu.
Ongelea utamaduni wa Muafrica

Hebu tuweke unafiki pembeni...mwanamke aliyepiga mini na aliyepigilia baibui, yupi anavutia macho yako?
 
Kila mmoja naamini anamuonekano wake wa mtu akiwa mtupu...Je watu wanadhani utupu huanzia wapi?
Mmasai huwezi mwambia kuwa kuvaa nguo inayoonyesha mabega, au mapaja ni utupu, Mmang'ati vile vile..
Sasa utupu wa mtoa mada unaanzia wapi?

Kwa mimi utupu unaanzia juu ya paja hadi juu ya ziwa. hapo mtu nitashangaa sana akiacha maziwa nje na mapaja pale karibu na makalio nje...

kwamba utupu tunatafsiri tofauti
 
Hii ramani mbona haina vielelezo??!!!
Tyta
 
Last edited by a moderator:
Kila mmoja naamini anamuonekano wake wa mtu akiwa mtupu...Je watu wanadhani utupu huanzia wapi?
Mmasai huwezi mwambia kuwa kuvaa nguo inayoonyesha mabega, au mapaja ni utupu, Mmang'ati vile vile..
Sasa utupu wa mtoa mada unaanzia wapi?

Kwa mimi utupu unaanzia juu ya paja hadi juu ya ziwa. hapo mtu nitashangaa sana akiacha maziwa nje na mapaja pale karibu na makalio nje...

Hapo ndiyo utupu huko kwingine amna shida
 
Vimini.JPG

Mwisho mwa makalio mnaonekana
 
Inategemea unaongelea ufupi gani... mi I like mini skirts na huwa navaa cos najihisi niko poa zaidi ndani ya vazi hilo
 
Watu hawajui thamani ya miili yao ndo maana wanaionesha tuuuuu kama machungwa
 
Kila mmoja naamini anamuonekano wake wa mtu akiwa mtupu...Je watu wanadhani utupu huanzia wapi?
Mmasai huwezi mwambia kuwa kuvaa nguo inayoonyesha mabega, au mapaja ni utupu, Mmang'ati vile vile..
Sasa utupu wa mtoa mada unaanzia wapi?

Kwa mimi utupu unaanzia juu ya paja hadi juu ya ziwa. hapo mtu nitashangaa sana akiacha maziwa nje na mapaja pale karibu na makalio nje...

je inakuaj wale wnaovaa vimini juu ya magot
 
Back
Top Bottom