Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tuweke unafiki pembeni...mwanamke aliyepiga mini na aliyepigilia baibui, yupi anavutia macho yako?
kwamba utupu tunatafsiri tofauti
Kila mmoja naamini anamuonekano wake wa mtu akiwa mtupu...Je watu wanadhani utupu huanzia wapi?
Mmasai huwezi mwambia kuwa kuvaa nguo inayoonyesha mabega, au mapaja ni utupu, Mmang'ati vile vile..
Sasa utupu wa mtoa mada unaanzia wapi?
Kwa mimi utupu unaanzia juu ya paja hadi juu ya ziwa. hapo mtu nitashangaa sana akiacha maziwa nje na mapaja pale karibu na makalio nje...
hivi kama huyo kwenye picha ndo wife utajisikiaje?
Inategemea unaongelea ufupi gani... mi I like mini skirts na huwa navaa cos najihisi niko poa zaidi ndani ya vazi hilo