Wasichana mnatakiwa mjiongeze

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Wakati mwingine Wakinadada huwa mna maswali
ya kushangaza sana aisee.Hebu fikiria uko kwenye
mizunguko unakutana na mdada unamzimikia kweli
na unatamani muwe marafiki msiishie tu kuonana
siku hiyo.Kwa ustaarabu kabisa unamwambia,''Dada Samahani naweza kupata namba yako ya Simu'? Eti anakuuliza,''Kwani kaka unataka namba yangu
ya simu YA KAZI GANI'?
Kwani namba ya Simu kwa binadamu ina kazi ngapi
jamani?
Dawa ya mtu kama huyu ni kumwambia''NAOMBA
NAMBA YAKO NIKASUGULIE MASUFURIA NYUMBANI YANA MASIZI'
 
Jamani usilazimishe kupewa namba ya simu, hayo ni maamuzi ya mtu. Hiyo ni private number na sio public number, hivyo unatakiwa ujipanga haswa kuomba namba sio kama unalazimisha
 
Jomba tumia swaga za kimangalinyo, Ebu fikiri unaomba namba kama hivyo ana kwambia chukua tena fasta mmmh hata mimi ntaogopa bibie katoa namba fasta kuna usalama hapa. Wenzio huwa wanafundishana lazima ubishe ili uonekane stable
 
Aaah, Ivi Nyani Ngabu Hadi mademu wa state pia wapo kama wa huku bongo kwenye suala la maamuzi na msimamo?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jamani usilazimishe kupewa namba ya simu, hayo ni maamuzi ya mtu. Hiyo ni private number na sio public number, hivyo unatakiwa ujipanga haswa kuomba namba sio kama unalazimisha
Mi naomba ya kwako...
 
Heee.... We unachekesha kweli.... Kwahiyo tusiulize??? Lazima kuuliza inategemea na maongez ukiona mdada kakuuliza ya nn jua umeongea pumba...

Hata mi sikupi sipendagi vimeseji uchwara.... Sijui umekula.... Mbona hatuchat upo bize....

Mengine ni kuepusha ajali.... Mume or mchumba akikuta text kama hizo lazma uaminif upungue....

Kwa siku ukigawa namba kwa mtu 1. Kwa mwez watu 30. Hahaaaa..... Tunagawaga kwa men with sensible talks... Eg. Business e.t.c
 
Sasa kama hautaki kutoa namba si bora useme tu kuliko kuuliza uliza maswali utadhani Questionaire
 
Imbisha upewe namba bila hata kuomba.

We unaomba namba kama vile unadai chenchi kwa konda!!!
Sasa huo muda wa kuanza kuandaa misamiati upo wapi? Alafu sio kila mtu anayeomba namba yuko kimahusiano,
 
Hata ile tabia ya kumpa mistari kimyakimya ndani ya daladala halafu yeye anabwata sio fair wadada...!!.. Mnabwata nini..??... Kwani ukinijbu taratibu ndio utang'oka meno... [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Jamani usilazimishe kupewa namba ya simu, hayo ni maamuzi ya mtu. Hiyo ni private number na sio public number, hivyo unatakiwa ujipanga haswa kuomba namba sio kama unalazimisha
Ni bora uwe straight kama hutaki, kuliko kuulizauliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu
 
Nakubaliana na ww kabisaaa, cz kuna vijitu vipitaka no yako hata kama ilikuwa ni kwa ajili ya kazi badae vinasumbua na vimeseji vya ajabu, akiandika kingereza ni kibovu, aje sasa kwenye kiswahili ndo anakuongezea uchovu kabisaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…