STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Wakati mwingine Wakinadada huwa mna maswali
ya kushangaza sana aisee.Hebu fikiria uko kwenye
mizunguko unakutana na mdada unamzimikia kweli
na unatamani muwe marafiki msiishie tu kuonana
siku hiyo.Kwa ustaarabu kabisa unamwambia,''Dada Samahani naweza kupata namba yako ya Simu'? Eti anakuuliza,''Kwani kaka unataka namba yangu
ya simu YA KAZI GANI'?
Kwani namba ya Simu kwa binadamu ina kazi ngapi
jamani?
Dawa ya mtu kama huyu ni kumwambia''NAOMBA
NAMBA YAKO NIKASUGULIE MASUFURIA NYUMBANI YANA MASIZI'