Wasichana mnatakiwa mjiongeze

Wasichana mnatakiwa mjiongeze

Jomba tumia swaga za kimangalinyo, Ebu fikiri unaomba namba kama hivyo ana kwambia chukua tena fasta mmmh hata mimi ntaogopa bibie katoa namba fasta kuna usalama hapa. Wenzio huwa wanafundishana lazima ubishe ili uonekane stable

Anayetoa namba ya simu fasta ujue anajiamini huyo wala siyo chipsi funga kama unavyomchukulia, Sasa wale wa staki nataka ni balaa, anakuzungusha kukupa namba ila ukitongoza tu ni kama kumsukuma mlevi mpaka unajiuliza mbona alikuwa anadengua wakati kumbe kishanisoma?
 
Jamani usilazimishe kupewa namba ya simu, hayo ni maamuzi ya mtu. Hiyo ni private number na sio public number, hivyo unatakiwa ujipanga haswa kuomba namba sio kama unalazimisha
hajalazimisha ila anacholalamikia ni jibu alilopewa, soma vzr elewa ndo ujibu, big up stunter
 
hajalazimisha ila anacholalamikia ni jibu alilopewa, soma vzr elewa ndo ujibu, big up stunter
Nimeelewa sana, sasa unakuta mtu mekuta siku moja au 2 afu anaomba no yako, na unajua kabisa hakuna habari mpya mtu atakayokuambia zaid ya kutongoza, mfano unakutana na mtu kwenye daladala anakusaidia kukubebe kamfuko ukipata siti ya kukaa ananza kukuomba no unajiuliza ya nn sasa anaomba? Eti tuwe marafiki ili iweje
 
kama hutaki we mwambie tu kuwa hutaki usiweke swali juu ya swali
 
Hata ile tabia ya kumpa mistari kimyakimya ndani ya daladala halafu yeye anabwata sio fair wadada...!!.. Mnabwata nini..??... Kwani ukinijbu taratibu ndio utang'oka meno... [emoji38][emoji38][emoji38]
Mtu utakuta kama amewekewa Loud Speaker Mode....
 
Nakubaliana na ww kabisaaa, cz kuna vijitu vipitaka no yako hata kama ilikuwa ni kwa ajili ya kazi badae vinasumbua na vimeseji vya ajabu, akiandika kingereza ni kibovu, aje sasa kwenye kiswahili ndo anakuongezea uchovu kabisaaaaa
sasa wewe unayako...
 
Andika number yako kwenye elfu10 alafu mpe..
 
Back
Top Bottom