griffin2
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 694
- 834
Jomba tumia swaga za kimangalinyo, Ebu fikiri unaomba namba kama hivyo ana kwambia chukua tena fasta mmmh hata mimi ntaogopa bibie katoa namba fasta kuna usalama hapa. Wenzio huwa wanafundishana lazima ubishe ili uonekane stable
Anayetoa namba ya simu fasta ujue anajiamini huyo wala siyo chipsi funga kama unavyomchukulia, Sasa wale wa staki nataka ni balaa, anakuzungusha kukupa namba ila ukitongoza tu ni kama kumsukuma mlevi mpaka unajiuliza mbona alikuwa anadengua wakati kumbe kishanisoma?