Ngwanakilala
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 774
- 1,467
Mungu aliweka uadui Kati ya shetani na mwanamke ndio maana mwanamke ana mitihani mingi zaidi ya kiroho kuliko mwanaume.
Shetani hushambulia Roho yako Kwanza na mwishoni kabisa ndipo shambulio la rohoni hudhihirika mwilini
asilimia 90 ya wanawake wote wameshawahi kubakwa, sema ndio hivyo inakuwa siri yao
Xai kavu mkuu huna kipya poyoyo mingi au wenge la mninginio wa k vant ???[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama huelewi kilichoandikwa omba usomewe na kama huwezi kuandika omba uandikiwe piaXai kavu mkuu huna kipya poyoyo mingi au wenge la mninginio wa k vant ???[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mama alikuwa anaishi na mtoto wa mdogo wake umri miaka 16. Alikuwa anatoka kila siku saa 11 alfajir anaenda kwenye shughuli zake, huku nyuma anamuacha binti na mume Wake.
Yule mama alikuja kufariki ghafla kwa pressure baada ya kutoka kumzika binti yake wa Kwanza.
Wakati ndugu wapo kwenye msiba Yule binti aliyekuwa anaishi na Yule mama, ndugu walibaini anadalili za ujauzito walipombana akakubali, baba mkubwa ndio mwenye ujauzito.
Kama yapi?Ma barmaid wana kutana na mambo mengi sana
Naunga mkono hoja wanawake wengi ni wahanga wa sex violenceasilimia 90 ya wanawake wote wameshawahi kubakwa, sema ndio hivyo inakuwa siri yao
Na watu hatari kwa watoto wetu huwa ni jamaa zetu wa karibuNi kweli na wengi hawabakwi na strangers wanabakwa na watu wanaowajua au wanabakwa bila kujua kwa hakika kama wamebakwa kwani kubakwa ni sex bila ridhaa kamili
Na watu hatari kwa watoto wetu huwa ni jamaa zetu wa karibu