Wasichana na wanawake hukumbana na majanga ya ajabu ajabu sana katika maisha

Atakayeshindwa kujua kuwa huu ni uongo basi atakuwa mlokole..
Hata kama hizo stories alizoandika ni uongo lkn topic imeeleweka na ni ukweli dhahiri wanawake wanakumbana sana na huu unyanyasaji wa kingono
 
Hiyo emoj kwa avatar imeficha chakula cha macho plz iondoe mrembo
Kuna mama alikuwa anaishi na mtoto wa mdogo wake umri miaka 16. Alikuwa anatoka kila siku saa 11 alfajir anaenda kwenye shughuli zake, huku nyuma anamuacha binti na mume Wake.

Yule mama alikuja kufariki ghafla kwa pressure baada ya kutoka kumzika binti yake wa Kwanza.

Wakati ndugu wapo kwenye msiba Yule binti aliyekuwa anaishi na Yule mama, ndugu walibaini anadalili za ujauzito walipombana akakubali, baba mkubwa ndio mwenye ujauzito.
 
Pepo la kutaka kuzini na shemeji yangu binti wa miaka 19 na mimi 33 lilitaka kunikumba ila nashukuru Mungu nililikemea likashindwa kwa jina la yesu.
 
Wewe ni mtu mwenye nguvu sana kiroho na kiakili. Na unaya control maisha yako wala maisha yako hayaku control wewe. Wewe ni mtu ambae mambo hayakutokei tu bali unaamua nini kitokee na nini kisitokee kwenye maisha yako. Viva
 
Msifukue makaburi..Hasa sisi tunaojitamba tumeoa watoto wazuri,ukichunguza hizo harusi mababa zao wanakuwa na furaha sijui kwa nini?
 
Hapo hujagusia walimu wa shule + madrassa, ni mtihani sana. Mungu awanusuru mabinti zetu

Yanayotokea vyuo vikuu kwa lugna ya kiingereza yanaitwa barabarian. Unakuta prof ana miaka 60, ana watoto wakubwa kama binti anaemsumbua na ana ukimwi alafu anamsumbua binti yako ili azini nae
 
Nimekumbuka nilikua na rafiki yangu alikua mbumbumbu...alipendwa na coordinator wa chuo..semister ya Kwanza akafaulishwa..ya pili kafaulishwa..ya tatu coordinator anataka mchezo ..kumbe yule mtu kaathirika bwana.. semister ya tatu rafiki akagoma kutoa utamu na kudisco akadisco na ndiyo ukawa mwisho wake wa elimu.

Cha kushangaza Kuna wadada wa juu yetu alikua anatoka nao kuanzia mwanzo wa semister hadi kumaliza chuo..
 
Nachokumbuka nikiwa shule ni kashfa Za headmaster na baadhi ya walimu wa kiume kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wasichana wa A level
 
Dah umeandika deep sana ..kwel adse Kuna watu wamebarikiwa sana kwenye swala la kiroho na self control ... Big up to them
Wewe ni mtu mwenye nguvu sana kiroho na kiakili. Na unaya control maisha yako wala maisha yako hayaku control wewe. Wewe ni mtu ambae mambo hayakutokei tu bali unaamua nini kitokee na nini kisitokee kwenye maisha yako. Viva
 
Kuna Mzee mmoja,alikuwa lecture Mlimani alikuwa anatembea na bamedi mmoja ambaye alikuwa kaathirika.

Alafu home mzee anamgonga beki tatu na mwanae wa kiume nae ana mgonga beki tatu huyo huyo,kwa hiyo hapo baba,mama,mtoto na beki tatu wote wameungua.

Nyie acheni hizi familia zina mengi.
 
Daa hakika hiyo familia ni kizazi cha nyoka kama sio cha panya. Hapo ukosefu wa nidhamu na maaadili ndio uliovuruga hiyo familia
 
Nachokumbuka nikiwa shule ni kashfa Za headmaster na baadhi ya walimu wa kiume kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wasichana wa A level

Hii ipo sana hasa vijijini kwenye uhaba wa wanawake na ushamba wa tabia
 
Nimekumbuka nilikua na rafiki yangu alikua mbumbumbu...alipendwa na coordinator wa chuo..semister ya Kwanza akafaulishwa..ya pili kafaulishwa..ya tatu coordinator anataka mchezo ..kumbe yule mtu kaathirika bwana.. semister ya tatu rafiki akagoma kutoa utamu na kudisco akadisco na ndiyo ukawa mwisho wake wa elimu.

Cha kushangaza Kuna wadada wa juu yetu alikua anatoka nao kuanzia mwanzo wa semister hadi kumaliza chuo..

Yaaa kuna watu hua sijui wamelogwa yani wakauaga mbumbumbu hasa. Kila mtihani anapata zero. akisoma haelewi kabisa. Walokole wanatumiaga shortcut wanasema watu hao wana mapepo
 
Back
Top Bottom