Wasichana na wanawake hukumbana na majanga ya ajabu ajabu sana katika maisha

Wasichana na wanawake hukumbana na majanga ya ajabu ajabu sana katika maisha

Daa hakika hiyo familia ni kizazi cha nyoka kama sio cha panya. Hapo ukosefu wa nidhamu na maaadili ndio uliovuruga hiyo familia
Unashangaa ata kwenye biblia nadhani Benjamin alikuwa anatembea na hawara za baba yake mpaka akanyimwa uridhi
 
Dah umeandika deep sana ..kwel adse Kuna watu wamebarikiwa sana kwenye swala la kiroho na self control ... Big up to them

Majaribu hayo ni makubwa na wengi hua wanachemsha inataka nidhamu sana kupiga moyo konde na kukimbia
 
Unashangaa ata kwenye biblia nadhani Benjamin alikuwa anatembea na hawara za baba yake mpaka akanyimwa uridhi

Lakini nyakati zile za Bible watu walikua wachache sana. Kwa maisha ya sasa nadhani ni tamaa na ukosefu wa heshima tu maana wanawake ni wengi sana
 
Back
Top Bottom