Jurrasic Park JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 3,833 Reaction score 6,890 Oct 27, 2019 #41 Ngwanakilala said: Daa hakika hiyo familia ni kizazi cha nyoka kama sio cha panya. Hapo ukosefu wa nidhamu na maaadili ndio uliovuruga hiyo familia Click to expand... Unashangaa ata kwenye biblia nadhani Benjamin alikuwa anatembea na hawara za baba yake mpaka akanyimwa uridhi
Ngwanakilala said: Daa hakika hiyo familia ni kizazi cha nyoka kama sio cha panya. Hapo ukosefu wa nidhamu na maaadili ndio uliovuruga hiyo familia Click to expand... Unashangaa ata kwenye biblia nadhani Benjamin alikuwa anatembea na hawara za baba yake mpaka akanyimwa uridhi
Ngwanakilala JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 774 Reaction score 1,467 Oct 27, 2019 Thread starter #42 Jurrasic Park said: Unashangaa ata kwenye biblia nadhani Benjamin alikuwa anatembea na hawara za baba yake mpaka akanyimwa uridhi Click to expand... Ni kweli kwa kawaida hiyo ni laana
Jurrasic Park said: Unashangaa ata kwenye biblia nadhani Benjamin alikuwa anatembea na hawara za baba yake mpaka akanyimwa uridhi Click to expand... Ni kweli kwa kawaida hiyo ni laana
Ngwanakilala JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 774 Reaction score 1,467 Oct 28, 2019 Thread starter #43 mwanazuoni mgeni said: Dah umeandika deep sana ..kwel adse Kuna watu wamebarikiwa sana kwenye swala la kiroho na self control ... Big up to them Click to expand... Majaribu hayo ni makubwa na wengi hua wanachemsha inataka nidhamu sana kupiga moyo konde na kukimbia
mwanazuoni mgeni said: Dah umeandika deep sana ..kwel adse Kuna watu wamebarikiwa sana kwenye swala la kiroho na self control ... Big up to them Click to expand... Majaribu hayo ni makubwa na wengi hua wanachemsha inataka nidhamu sana kupiga moyo konde na kukimbia
Ngwanakilala JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 774 Reaction score 1,467 Oct 28, 2019 Thread starter #44 Jurrasic Park said: Unashangaa ata kwenye biblia nadhani Benjamin alikuwa anatembea na hawara za baba yake mpaka akanyimwa uridhi Click to expand... Lakini nyakati zile za Bible watu walikua wachache sana. Kwa maisha ya sasa nadhani ni tamaa na ukosefu wa heshima tu maana wanawake ni wengi sana
Jurrasic Park said: Unashangaa ata kwenye biblia nadhani Benjamin alikuwa anatembea na hawara za baba yake mpaka akanyimwa uridhi Click to expand... Lakini nyakati zile za Bible watu walikua wachache sana. Kwa maisha ya sasa nadhani ni tamaa na ukosefu wa heshima tu maana wanawake ni wengi sana