joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mhhh kuna mbinti wanaamini hela ya mwanaume tamu kuna wengine wanakazi zao.Nashindwa kuelewa kwa nini baadhi ya dada zangu hawafanyi kazi na kuweza kujitengemea?? ππ
Ila hamna mwanaume anayekataa kumtimizia mwanamke mahitaji yake yote ya msingi na kama wapo basi ni wachache sana.
Kuna vitu vingine dada zangu mnaviomba sio vya msingi bali presha zenu za vikoba vitatu vitatu,michezo miwili miwili,trends upande wa fashion kuvaa brand kubwa kubwa bado mnataka kukimbizana na matoleo ya simu kila toleo unataka kuwa nalo,kila sherehe unataka uchange ,uvae nguo mpya na kiatu kipya. Ukitolewa out unataka sehemu zenye majina makubwa,vitu vikubwa vikubwa mara Hennessy wakati unakulaga Castle, yaani ili mradi mtukomoe.