Wasichana na wanawake tafuteni waume siyo wafanyakazi

Nakazia kuwa waache tamaa ya kutazama karibu.
Ni heri waanze zero na wanandoa wao
Uko sahihi kwa hili pia. Basi angalau umkute mtu anajishughulisha na kufanya kitu/kazi basi.
Kwa sababu kazi ni kazi tu lakini ikiwa ya halali. Muhimu tu mwezio asiwe mvivu. 🙏🙏
 
We dada sijui mama una matatizo ya akili? Nimesimanga kazi ya mtu? Hivi mods kuna uwezo wa kublock mtu asiwe ana reply post zako. We mama tafuta wachumba huko uk mimi niache eboo
Samahani kuhunifahamu mimi sikusema wewe unasimanga kazi ya mtu.

Mimi nimesema sio sawa kina dada wanao simanga kazi za wakina kaka.

Any ways sio mbaya niite vyovyote vile na unaweza kuniblock pia.

Ahsante saaana, mimi sijazowea kutukana watu.
 
Ni wanaume pekee ambapo wakitaka kuoa wana consider kigezo cha tabia njema,ila wanawake wao wanacho angalia hela haijalishi anafanya kazi ya aina gani wao ni hela.Dada zangu wengi wao hawanaga time na mwanaume mwenye vision wala kusuport vision zake.
 
Wanaume wamefanywa kuwa chuma ulete
 
Ni wanaume pekee ambapo wakitaka kuoa wana consider kigezo cha tabia njema,ila wanawake wao wanacho angalia hela haijalishi anafanya kazi ya aina gani wao ni hela.Dada zangu wengi wao hawanaga time na mwanaume mwenye vision wala kusuport vision zake.
Hii kama inanihusu mimi, ni kweli kabisa. Na wanawake wanao angalia hela tu sio sawa pia. 🙏🙏
 
Na ni ngumu kuibadili siku hizi imekuwa kama trends na mara nyingi dada zangu huwaga wanaumia hasa wakikutana na mwanaume katili na hasiye jali future ya mwanamke, kwani huishia kuwa single mother.

Mwanaume akipendewa hela anajua tu hapa sipendwi na mwanamke hutegesha mimba kwa kuamini ataolewa kumbe jamaa nae mpitaji.
 
Kwa kweli yote unayosema ni sahihi kabisa.
Lakusema sina Mungu atusaidie 🙏🙏
 
Na ni ngumu kuibadili siku hizi imekuwa kama trends na mara nyingi dada zangu huwaga wanaumia hasa wakikutana na mwanaume katili na hasiye jali future ya mwanamke, kwani huishia kuwa single mother.

Mwanaume akipendewa hela anajua tu hapa sipendwi na mwanamke hutegesha mimba kwa kuamini ataolewa kumbe jamaa nae mpitaji.
Nashindwa kuelewa kwa nini baadhi ya dada zangu hawafanyi kazi na kuweza kujitengemea?? 🙏🙏
 
Back
Top Bottom