Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Nadhani ulitakiwa kusema Unconditional love.Love with no string attached, sijui kwanini mnapenda kuweka ugumu kwenye kila jambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani ulitakiwa kusema Unconditional love.Love with no string attached, sijui kwanini mnapenda kuweka ugumu kwenye kila jambo
Nadhani ulitakiwa kusema Unconditional love badala ya Love with no strings attached. Kwasababu no strings attached hutumika eneo ambapo humaanisha mtu kuwa under control ya mtu mwingine au kundi la watu wengine au kitu kingine.Love with no string attached, sijui kwanini mnapenda kuweka ugumu kwenye kila jambo
Yet wapo tayari kupoteza muda kufanya mambo ya kipumbavu na kipuuzi ambayo baadae yatawatia losses za kufa mtu.Wanawake, mabinti wa sasa hawataki ugumu wa maisha, wanaogopa kuteseka.
LOL 🙄😳pole sna naweza kukusaidia kisaikolojia?
👍👍Dini ni muhimu
Kazi ni muhimu
Mume mwenye hela ni muhimu so jipangee
MmmmmmmhhhhYet wapo tayari kupoteza muda kufanya mambo ya kipumbavu na kipuuzi ambayo baadae yatawatia losses za kufa mtu.
Wambie siswazazi wanaompangia mtu wa kuolewa nae binti yao hawana akili
Sina tatizo niko powaaaaa kabisapole sna naweza kukusaidia kisaikolojia?
Usijitowe akili nilifanya hivyo na nilipojuwa niliomba msamaha hukuliona hiloSista unaharibu uzi haki nakwambia, mtu akiwa mpya anasoma anazoea kwanza baadae akishapata uzoefu anaanza kutoa comments. Hapa ni either unatuigizia au umekosa cha kufanya. Tafadhari unaharibu thread, unajibu comment zote hata zisizo kulenga tafikiri wewe ndio mtoa maada. Acha izo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Chengine elekeza mtu kwa ustarabu sio ujuba tu.Sista unaharibu uzi haki nakwambia, mtu akiwa mpya anasoma anazoea kwanza baadae akishapata uzoefu anaanza kutoa comments. Hapa ni either unatuigizia au umekosa cha kufanya. Tafadhari unaharibu thread, unajibu comment zote hata zisizo kulenga tafikiri wewe ndio mtoa maada. Acha izo!
Sent using Jamii Forums mobile app
😳🙄Kuna msemo unasema hivi,kuchamba kwingi utaambulia kujinusa mkono
Sasa kama nimekosea kwa nini usinifahamishe ?? Sina nia mbayaMimi kanichosha yaan namuangalia tu.
Mimi kanichosha yaan namuangalia tu.
Samahani Lakini kama hiyo comment inanihusu mimi.Mimi kanichosha yaan namuangalia tu.
Feminism inawaharibu sana pia mna ubinafsi sana.Pole mkuu. Vijana wa hovyo humu JF hawapendi uhuru wa mwanamke. Hawapendi mwanamke ajieleze kile takacho bali kile watakacho,uzi wako umewachoma na kuwauma sana.
Tuvijana tuvivu tuvivu tunaona kama umetusimanga kwa vile unaishi london walitegemea utakua tiketi ya kuwavuta huko ulipo.
Tukikubali kupeana uhuru humu hizi judgements za ajabu ajabu zitapungua na kuisha. Anatokea mburura mmoja na kutoa mifano ya wazazi wake mara nyenyenyee eti yeye alilelewa na mke kabla hajapata kazi.
Maisha ya saiv ni kusaidiana na sio kutegemeana na kupunjana. Wakaka,wababa,wababu wanalalamika kuchunwa pesa kila leo ila hawapendi mwanamke mwenye pesa awe na uhuru wa pesa zake
Wanachojua kuongeza ni makalio(urembo ) ili wawapate wanaume wenye pesa(kitonga) hamna kingine na ndio upendo wao ulipoKama hawataki ugumu wa maisha, wanaogopa kuteseke wanatakiwa kuongeza bidii katika kufanya kazi ili maisha yawe rahisi.
Ni kweli. Na wengi ni wababawazazi wanaompangia mtu wa kuolewa nae binti yao hawana akili
QueenLove with no string attached, sijui kwanini mnapenda kuweka ugumu kwenye kila jambo
Abee LeeQueen