Wasichana na wanawake tafuteni waume siyo wafanyakazi

Wasichana na wanawake tafuteni waume siyo wafanyakazi

Love with no string attached, sijui kwanini mnapenda kuweka ugumu kwenye kila jambo
Nadhani ulitakiwa kusema Unconditional love badala ya Love with no strings attached. Kwasababu no strings attached hutumika eneo ambapo humaanisha mtu kuwa under control ya mtu mwingine au kundi la watu wengine au kitu kingine.

Ila unconditional ina maanisha bila masharti yoyote.
 
Sista unaharibu uzi haki nakwambia, mtu akiwa mpya anasoma anazoea kwanza baadae akishapata uzoefu anaanza kutoa comments. Hapa ni either unatuigizia au umekosa cha kufanya. Tafadhari unaharibu thread, unajibu comment zote hata zisizo kulenga tafikiri wewe ndio mtoa maada. Acha izo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Usijitowe akili nilifanya hivyo na nilipojuwa niliomba msamaha hukuliona hilo
 
Sista unaharibu uzi haki nakwambia, mtu akiwa mpya anasoma anazoea kwanza baadae akishapata uzoefu anaanza kutoa comments. Hapa ni either unatuigizia au umekosa cha kufanya. Tafadhari unaharibu thread, unajibu comment zote hata zisizo kulenga tafikiri wewe ndio mtoa maada. Acha izo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Chengine elekeza mtu kwa ustarabu sio ujuba tu.
 
Pole mkuu. Vijana wa hovyo humu JF hawapendi uhuru wa mwanamke. Hawapendi mwanamke ajieleze kile takacho bali kile watakacho,uzi wako umewachoma na kuwauma sana.

Tuvijana tuvivu tuvivu tunaona kama umetusimanga kwa vile unaishi london walitegemea utakua tiketi ya kuwavuta huko ulipo.

Tukikubali kupeana uhuru humu hizi judgements za ajabu ajabu zitapungua na kuisha. Anatokea mburura mmoja na kutoa mifano ya wazazi wake mara nyenyenyee eti yeye alilelewa na mke kabla hajapata kazi.


Maisha ya saiv ni kusaidiana na sio kutegemeana na kupunjana. Wakaka,wababa,wababu wanalalamika kuchunwa pesa kila leo ila hawapendi mwanamke mwenye pesa awe na uhuru wa pesa zake
Feminism inawaharibu sana pia mna ubinafsi sana.

Hv kama mnataka haki sawa, kwanini msipange matumizi ya mishahara yenu na waume zenu. Mishahara yenu inawanufaisha ninyi peke yenu lakini mnalilia haki sawa
 
Kama hawataki ugumu wa maisha, wanaogopa kuteseke wanatakiwa kuongeza bidii katika kufanya kazi ili maisha yawe rahisi.
Wanachojua kuongeza ni makalio(urembo ) ili wawapate wanaume wenye pesa(kitonga) hamna kingine na ndio upendo wao ulipo
Kuna mtu alisema
Upendo wa mwanamke uko bases on continued performance Hauji bure na hata akiupata hautadumu unless you feed the performance
 
Back
Top Bottom