Wasichana Punguzeni Kucha

Kanyoeni Mavu $%^z yenu ya kwapana ndio mje hapa na mada za kucha.
Hilo ndio umeliona tu, hujaona tatizo la soksi kuteleza kwenye viatu?
 
Kuna sehemu nyingine ukiwa na kucha ndefu huwezi kuzisafisha, najiuliza swali huwa inakuwaje?
 
Kanyoeni Mavu $%^z yenu ya kwapana ndio mje hapa na mada za kucha.
Hilo ndio umeliona tu, hujaona tatizo la soksi kuteleza kwenye viatu?
Ukweli unauma..lol, utakuta mtu umeingiza mashine then kuja kutoa ni harufu za ajabuajabu na povu jingi la utoko kwa sababu ya kushindwa kujisafisha ukeni kwa kuingiza vidole. Tena utakuta hao wanaojiita warembo na kutembea kwa maringo kama twiga, na mikucha yao mirefu kama jini hutumia toilet papers kujisafi na kisha kujipulizia maunyunyu kibao kumbe ni uvundo mtu lol puuuuuu nisije tapika mie.
 
Maskio ntaongeza vitobo tu vya kuvalia hereni,afu nataka nitoboe pua pia. Kwa masonara tungeenda j2 ili tukanunue na karolaiti

Usisumbuke sana kutoboa pua, kuna za kubandika uwe Mdhungu....Zile za brathameni marehemu (MJ) sijui kaachia nani ama kazikwa nazo!!, waeza aagizia kama aliziwacha!!!!
 
Mmh mhh, jaman mi nakula saa hizi mbona hivyo?
 
Mm nimeshindwa kuendelea na msosi, kumbe mnakutana na mengi eee!
 
Kwa kweli huwa sipendi ile mikucha, ila nilifikiri kwa sababu mimi ni mwanamke, na nilijua mnawekewa nyie kumbe na nyie hamyapendi!
 
yaani mi mwenyewe huwa nachukia sana haya makucha yakrafiki zetu mwenyewe huwa najiuliza tena wengine wanaenda kabisa na kubandika hata aibu hawaoni
 
Kwa kweli huwa sipendi ile mikucha, ila nilifikiri kwa sababu mimi ni mwanamke, na nilijua mnawekewa nyie kumbe na nyie hamyapendi!

wanayapenda sana ila hapa wanajishaua.
Hela za kwenda kutengeneza hayo makucha wanawapa wenyewe na wakiwakuta na makucha wanafyata wanakuja kusemea jf.
 
Mmmh! Kazi kweli kweli. Kwa hiyo nywele feki, kope feki, kucha feki, ma...........ko ya mchina, rangi ya mwili mkorogo tutafika kweli?
 
wanayapenda sana ila hapa wanajishaua.
Hela za kwenda kutengeneza hayo makucha wanawapa wenyewe na wakiwakuta na makucha wanafyata wanakuja kusemea jf.
Nani anakudanganyeni? tatizo mkiambiwa majumbani tena laivu mnaweka mgomo wa unyumba hapa JF utamgomea nani unazani? toeni mikucha hiyo bana inasababisha tetanus (Dr Riwa atasibitisha hii)
 
hivi hayo makucha mareeeeeeefu wanafugaga kama majini, yana faida gani? Kwa wanini wasifuge kucha za kadri.
 
Maskio ntaongeza vitobo tu vya kuvalia hereni,afu nataka nitoboe pua pia. Kwa masonara tungeenda j2 ili tukanunue na karolaiti

Hahah Husninyo na massage je? Pitia pale shoppers ukapakatwe na wenyewe! hahahahah
 
Acha wapendeze! Sema wanatakiwa kuwa makini ili tukio kama hilo lisije kuwatokea wengine!
 
wanayapenda sana ila hapa wanajishaua.
Hela za kwenda kutengeneza hayo makucha wanawapa wenyewe na wakiwakuta na makucha wanafyata wanakuja kusemea jf.

hamisi kishidinda yupo?
 
wanayapenda sana ila hapa wanajishaua.
Hela za kwenda kutengeneza hayo makucha wanawapa wenyewe na wakiwakuta na makucha wanafyata wanakuja kusemea jf.

Husninyo na wewe ina maana hujui kwanini huwa hawasemi wakati huo? Yeye time hiyo anakuwa anawaza game tu anajua akikukosoa utasusa. Hivi ni kweli wakiwapa hela huwa wanawaambia ni za kubandikia kucha!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…