klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Wapi?.....KULE NAKO KM VP UNAENDA KUNUNUA SABUNI...KUNAKUWA KUPYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA......ahh araha tupu!!!!!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi?.....KULE NAKO KM VP UNAENDA KUNUNUA SABUNI...KUNAKUWA KUPYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA......ahh araha tupu!!!!!!!!!!!
Tabia ya madada kuacha kucha ndefu bila kupunguza imefikia mahali tuulize kuwa ni kwa kusudi gani hasa. Hivi karibuni nilikuwa safarini toka Tanga wilaya ya Handeni. Kuna dada alipanda kwenye gari ambayo ilijaa sana. Katika harakati za kupanda na kupata nafasi mdada huyo alimparua babu mmoja usoni damu ikaanza kutoka. Madada huu utamaduni wa kukuza kucha ni vema mkaweka wazi kusudi lenu ili watu wasije anza chukia. Kwa nini mnaacha kucha ndefu jamani?
Hmmmmm
Wapi?.....
Ukweli unauma..lol, utakuta mtu umeingiza mashine then kuja kutoa ni harufu za ajabuajabu na povu jingi la utoko kwa sababu ya kushindwa kujisafisha ukeni kwa kuingiza vidole. Tena utakuta hao wanaojiita warembo na kutembea kwa maringo kama twiga, na mikucha yao mirefu kama jini hutumia toilet papers kujisafi na kisha kujipulizia maunyunyu kibao kumbe ni uvundo mtu lol puuuuuu nisije tapika mie.Kanyoeni Mavu $%^z yenu ya kwapana ndio mje hapa na mada za kucha.
Hilo ndio umeliona tu, hujaona tatizo la soksi kuteleza kwenye viatu?
Maskio ntaongeza vitobo tu vya kuvalia hereni,afu nataka nitoboe pua pia. Kwa masonara tungeenda j2 ili tukanunue na karolaiti
ukiona mwanamke ana kucha za asili ndefu katika vidole basi wala usijaribu kumuomba game maana utajuta. hao huwa hawasafishi kule kwenye urithi wa bibi maana zile kucha huwezi kuziingiza ndani, matokeo yake wakati wa shughuli unashangaa harufu kali na ya ajabu sana inatoka na unaweza hata kutapika na shughuli ikaishia bao moja tu. hasa wasichana warembo sanaaa ndo wenye matatizo hayo. don't try them
Ukweli unauma..lol, utakuta mtu umeingiza mashine then kuja kutoa ni harufu za ajabuajabu na povu jingi la utoko kwa sababu ya kushindwa kujisafisha ukeni kwa kuingiza vidole. Tena utakuta hao wanaojiita warembo na kutembea kwa maringo kama twiga, na mikucha yao mirefu kama jini hutumia toilet papers kujisafi na kisha kujipulizia maunyunyu kibao kumbe ni uvundo mtu lol puuuuuu nisije tapika mie.
Mmh mhh, jaman mi nakula saa hizi mbona hivyo?
Kwa kweli huwa sipendi ile mikucha, ila nilifikiri kwa sababu mimi ni mwanamke, na nilijua mnawekewa nyie kumbe na nyie hamyapendi!
Nani anakudanganyeni? tatizo mkiambiwa majumbani tena laivu mnaweka mgomo wa unyumba hapa JF utamgomea nani unazani? toeni mikucha hiyo bana inasababisha tetanus (Dr Riwa atasibitisha hii)wanayapenda sana ila hapa wanajishaua.
Hela za kwenda kutengeneza hayo makucha wanawapa wenyewe na wakiwakuta na makucha wanafyata wanakuja kusemea jf.
Maskio ntaongeza vitobo tu vya kuvalia hereni,afu nataka nitoboe pua pia. Kwa masonara tungeenda j2 ili tukanunue na karolaiti
wanayapenda sana ila hapa wanajishaua.
Hela za kwenda kutengeneza hayo makucha wanawapa wenyewe na wakiwakuta na makucha wanafyata wanakuja kusemea jf.
wanayapenda sana ila hapa wanajishaua.
Hela za kwenda kutengeneza hayo makucha wanawapa wenyewe na wakiwakuta na makucha wanafyata wanakuja kusemea jf.