Wasichana wa enzi zile haya tukubali

Wasichana wa enzi zile haya tukubali

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
2-640x731.jpg

Hao unaotaka kuwa impress watakuonakichaa


5-640x598.jpg


Hapa ni kujitafutia matatizo


6-640x702.jpg


Hata uwe na flat tummy hapa ni NO


8-640x543.jpg



Hata iwe a night party, skirt iwe knee length


9-640x688.jpg


M hand bag mkubwa ni wa nini?
 
Ndio maana wanawake wa kizamani ni wataam sana,.walikuwa wanajificha kiasi unakuwa na jotroo,.wasasahivi wako too transparent wanapigwa na ubaridi mpaka papuchi nazo zinakuwa baridi kama wako pluto vile[emoji41][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tena baridi ya AC zaidi ya masaa 8 kwa siku, hapo kavaa sketi akikaa inarudi nyuma mapaja yanakuwa wazi. AC inapiga hadi kunako cervix
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tena baridi ya AC zaidi ya masaa 8 kwa siku, hapo kavaa sketi akikaa inarudi nyuma mapaja yanakuwa wazi. AC inapiga hadi kunako cervix
Woiii ubaridi wa pacifc ocean😂😂😂😂😂 halafu wanakuja kulalamika humu oohh nimeachwa,.ukiwa na juzi joto za uhakika unaachajwe kwa mfanoo😂😂😂wajistiri waone unavyokuwa mtraaaamm....
 
Woiii ubaridi wa pacifc ocean[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu wanakuja kulalamika humu oohh nimeachwa,.ukiwa na juzi joto za uhakika unaachajwe kwa mfanoo[emoji23][emoji23][emoji23]wajistiri waone unavyokuwa mtraaaamm....
Sisi wanaume ni wadhaifu sana kututeka ila mnakwama wenyewe...
 
Back
Top Bottom