Wasichana wa enzi zile haya tukubali

Wasichana wa enzi zile haya tukubali

Ndio maana wanawake wa kizamani ni wataam sana,.walikuwa wanajificha kiasi unakuwa na jotroo,.wasasahivi wako too transparent wanapigwa na ubaridi mpaka papuchi nazo zinakuwa baridi kama wako pluto vile😎😀
umejuwaje dada na wewe ni mwanamke
 
Vitambii vinawafanya wanawake wengi wawe na choices chache sana za mavazi...

Kuna ex wangu mmoja yeye alikua anapenda bia na kitimoto sasa kitambi kikau akawa anatupia t shirt za form six tu,, ila zilikua zinampendeza sana
Ukiwa na kitambi unaangukia kwenye madera, unajitahidi tu kupolish uso na make up maana ndiyo attraction iliyobaki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tena baridi ya AC zaidi ya masaa 8 kwa siku, hapo kavaa sketi akikaa inarudi nyuma mapaja yanakuwa wazi. AC inapiga hadi kunako cervix
Naomba maoni yako ni kweli asemayo??? Maana wewe ndiye unaeweza kusema ukweli haswa kwenye hili
 
Back
Top Bottom