Wasichana wa enzi zile haya tukubali

Wasichana wa enzi zile haya tukubali

Naomba maoni yako ni kweli asemayo??? Maana wewe ndiye unaeweza kusema ukweli haswa kwenye hili
Kisayansi, joto hupotea kwa njia mbali mbali ikiwemo mvukizo(Evaporation)

Mvukizo hutokea sehemu ambayo kwa kiasi kikubwa ni wazi. Ndio maana kwenye sehemu ya baridi huwa tunavaa nguo nzito ili kujikinga na upotevu wa joto mwilini.

Tusipovaa hizo nguo nzito tutahisi baridi maana joto litapotea kwa urahisi/haraka.

Jee sehemu ikiwa wazi muda mrefu utategemea iwe na joto la uhakika?..

Kwa mantiki hiyo ukisema kutojisitiri kuna sababisha ile sehemu pendwa kuwa ya baridi, ni kweli.
 
Asante

Ukiwa na kitambi unaangukia kwenye madera, unajitahidi tu kupolish uso na make up maana ndiyo attraction iliyobaki
hahahaaaa dada sky kumbe unayatambua vizuri maeneo yanayotuvutia sasa kama umeharibu chini kwa likitambi unabakisha uso tu maana hatutaona hips chura na vinginevyo heko dada
 
Hako kavazi ka huyo dada mwenye nyeupe..[emoji17][emoji17] ..vitambi sio poa jamani
 
Back
Top Bottom