Ndala ndefu
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 237
- 42
Habari za asubuhi memberz! Mimi ni miongoni mwa wavulana nilowahi kuweka bandiko langu hapa la kusaka mchumba, walijitokeza mabinti kama wa 3 hivi ila nilichobaini hawakuwa kimapenzi bali kimaslahi zaidi kwani wote niliendelea kuwasiliana nao, ila baada ya muda kila mmoja akaanza mara samahani nina shida na elfu 50, kiukweli ni jambo gumu kutoa pesa kwa mtu ambae cmfahamu. Wote baada ya kuona pesa haitumwi wakaamua kuvunja mawasiliano! Kimsingi bado nipo na hitaji hilo na kwa yule anaeona yupo serious ktk kuanzisha familia naomba aniPM tafadhari ila ikiwa upo kimaslahi ucpoteze muda. Sifa za binti nimtakae asizidi miaka 29 pia awe mweupe na asiwe mnene wala mrefu sana, nashukuru na mungu awabariki.