Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

typical TGNP associate
 
Lakini Lizzy wewe leo mbona umenikalia kooni namna hiyo dear??? Mpaka nikataka kuchomoka??? Nafurahi umenielewa

Furahi bwana...hutaki mwanafunzi anaeuliza maswali?Ndo mzuri coz somo likishaingia halitoki tena!!Asante na pole na kazi yakunipa somo!hehehe!
 
Unajua unavyoniharibia mipango yangu hapa jamvini? Utakava nafasi zao wewe?

Nishaharibu si niwewe lakini ndo umenipa hii niirushe sasa tena unanikana babu vipi kichina china nini??
 
yap ila nikiila iishe sio zile zinazongezeka ujazo.

usihofu Husninyo wewe tena?sema kingine!lakini kiafya, zile zinazoongezeka ujazo ndo nzuri, protein ya kumwaga inapatikana!!!
 
Furahi bwana...hutaki mwanafunzi anaeuliza maswali?Ndo mzuri coz somo likishaingia halitoki tena!!Asante na pole na kazi yakunipa somo!hehehe!

Haya mwanafunzi somo limeingia. Usijali
 
hofu kwako darling.....................
najitahidi kum-hold huyu ndugu, maana Dena anatangaza tusiolewe tena tukiachika...........

FP siamini kama haya maneno yanatoka kwako unataka kuachika??? Hebu mvumilie huyo uliyenaye
 
Dena...hii ilinipita mwaya lakini somo nimelipata. bora nilimtosa yule jamaa aliyetaka kuanzisha marital affairs na mie maana naye alishaacha mke huko nyuma.....
 
usihofu Husninyo wewe tena?sema kingine!lakini kiafya, zile zinazoongezeka ujazo ndo nzuri, protein ya kumwaga inapatikana!!!

Usianze uchakachuaji hapa tafadhali eeehhh
 
Dena...hii ilinipita mwaya lakini somo nimelipata. bora nilimtosa yule jamaa aliyetaka kuanzisha marital affairs na mie maana naye alishaacha mke huko nyuma.....

Ha ha ha JS ulikuwa wapi sasa na wewe. Yaani huyo mpotezee kabisa tena usigeuke nyuma maana unaweza muonea huruma
 
hofu kwako darling.....................
najitahidi kum-hold huyu ndugu, maana Dena anatangaza tusiolewe tena tukiachika...........
Mi swadakta, achana na Dena bana, mi sikuachi ng'oo. Na hata nikiRIP kwa sifa zako utaolewa tena na tena...........
 
Ha ha ha JS ulikuwa wapi sasa na wewe. Yaani huyo mpotezee kabisa tena usigeuke nyuma maana unaweza muonea huruma

Mwenzangu majukumu si unajua tena.....n kweli anatia huruma...halafu wanajuaga kudeka hao asikwambie mtu ili mradi tu afanikishe lengo lake
 
FP siamini kama haya maneno yanatoka kwako unataka kuachika??? Hebu mvumilie huyo uliyenaye

Dena, sijasema nataka kuachika, sithubutu hata kutamani kuachika. nimesema nilikuwa nam-hold mzee asije akaniacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…