Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Duh! I thread kuna watu imewagusa sana!!!

Ukiolewa au kuoa mara ya pili - things will never be the same!!! Kubali au kataa ukweli ndiyo huo...

Watafiti wa mambo ya mahusiano wanaandika hivi "...Kama mwanaume au mwanamke aliyeacha/aliyachwa angepewa nafasi ya kumrudia mwezi wake baada ya muda, asilimia 95% wangefanya hivyo..."

Walio wengi huwa wanapata kuishi kwa taabu katika mahusiano ya pili - it is more or less of "sogea tuishi"!
 
"'Infidel' is a term of reproach, which Christians and Muslims, in their modesty, agree to apply to those who differ from them"
 
 

Ee eee!
 

wengine wamejifunza baada ya kuachwa/kuachika dena,hivyo wanakuwa waume wazuri wana uzoefu kushinda wale first timers!
ila nakubaliana na wewe,mtu awe careful kabla hajajihusisha nao-wengine wanakuja na bitterness ya ndoa iliyopita -wanakuwa difficult kuwahandle!...mara nyingi unakuwa compared na mkewe aliyepita utasikia mbona mke wangu alikuwa ananifanyia hivi au vile...hiii baada ya muda inakuwa kero.

 

FAB nikisema mie taabu bora umesema wewe hapo kwenye red ndo shida ilipo
 
Well said Fab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…