Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Duh! I thread kuna watu imewagusa sana!!!

Ukiolewa au kuoa mara ya pili - things will never be the same!!! Kubali au kataa ukweli ndiyo huo...

Watafiti wa mambo ya mahusiano wanaandika hivi "...Kama mwanaume au mwanamke aliyeacha/aliyachwa angepewa nafasi ya kumrudia mwezi wake baada ya muda, asilimia 95% wangefanya hivyo..."

Walio wengi huwa wanapata kuishi kwa taabu katika mahusiano ya pili - it is more or less of "sogea tuishi"!
 
"'Infidel' is a term of reproach, which Christians and Muslims, in their modesty, agree to apply to those who differ from them"
progress.gif
 
Duh! I thread kuna watu imewagusa sana!!!

Ukiolewa au kuoa mara ya pili - things will never be the same!!! Kubali au kataa ukweli ndiyo huo...

Watafiti wa mambo ya mahusiano wanaandika hivi "...Kama mwanaume au mwanamke aliyeacha/aliyachwa angepewa nafasi ya kumrudia mwezi wake baada ya muda, asilimia 95% wangefanya hivyo..."

Walio wengi huwa wanapata kuishi kwa taabu katika mahusiano ya pili - it more or less of "sogea tuishi"![/QUOTE]

Hapo kwenye red umemaliza
 
Lizzy, nataraji wewe ni mtu mzima sasa!wewe kama hujaolewa na umepata mwanaume ambae amemwacha mke wake, nadhani hata usijulize sana!huenda hiyo ndo ikawa bahati yako mama!achana na mawazo ya DA!YEYE AMEENDA KUVURUGA HUKO NA KUCHONGANISHA NYUMBA ZA WATU, KISHA ANAKUJA HAPA KUTUELEZA KUWA WANAUME WALIOACHA WANAWAKE WAO NDO WANA MATATIZO!

Ee eee!
 
Habari zenu wote.

Katika pita pita zangu nimekutana na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza sana. Katika wanaume 25 walioachana na wake zao (niliowafanyia uchunguzi) hawawi na mapenzi tena. Kama kuna msichana humu akikutana na mwanaume kama huyu namshauri akae mbali nae kabisa na uweze kujiuliza maswali yafuatayo:
1. Kwanini aliachana na huyo mkewe??
2. Wewe unakipi kipya hasa ambacho utamfanya asikuache kama huyo mwingine??
3. Kakufuata wewe kwa sababu gani??? (Pesa, uzuri, nk)
4. Alikuwa anatafuta pa kupumzika then ale kona lakini ukambana akashindwa kuchomoka
5. Endeleza na sababu zako nyingine nyingiiiiiiiiiii

NB: Usikubali kuolewa na mwanaume alieacha mkewe wa ndoa kamwe!!!!!!!!!!!!!!!11

wengine wamejifunza baada ya kuachwa/kuachika dena,hivyo wanakuwa waume wazuri wana uzoefu kushinda wale first timers!
ila nakubaliana na wewe,mtu awe careful kabla hajajihusisha nao-wengine wanakuja na bitterness ya ndoa iliyopita -wanakuwa difficult kuwahandle!...mara nyingi unakuwa compared na mkewe aliyepita utasikia mbona mke wangu alikuwa ananifanyia hivi au vile...hiii baada ya muda inakuwa kero.

FAB nikisema mie taabu bora umesema wewe hapo kwenye red ndo shida ilipo
 
wengine wamejifunza baada ya kuachwa/kuachika dena,hivyo wanakuwa waume wazuri wana uzoefu kushinda wale first timers!
ila nakubaliana na wewe,mtu awe careful kabla hajajihusisha nao-wengine wanakuja na bitterness ya ndoa iliyopita -wanakuwa difficult kuwahandle!...mara nyingi unakuwa compared na mkewe aliyepita utasikia mbona mke wangu alikuwa ananifanyia hivi au vile...hiii baada ya muda inakuwa kero.

Well said Fab
 
Back
Top Bottom