Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

KK pole sana lakini nimesema niliyoshuhudia sio research ya nchi nzima tafadhali nielewe

Dena kwa ili jambo mpaka liitwe research huwa linakuwa na sifa zipi? Hata kama hujasema kuwa ni research, tambua hiyo uliyoifanya inasifa zote za kuitwa research, huwezi ukafikia kuchunguza wanaume 25, bado ukadai sio research, rejea sifa za research ni zipi hapo ndo utaelewa nini ulichokuwa unakifanya!!
 
Dena hii ungeita mtazamo lakini haijitoshelezi kuita research.
Na kama ni mtizamo umekuwa general zaidi (Jumla) au umekuwa wa kupendelea upande mmoja na wa kibinafsi zaidi.
Mifumo yetu ya maisha imekuwa sababu kubwa ya ndoa kutokudumu, materialism na cultural interaction whwere most of us assume to live western life while practically there here in africa na kila anayechukua maamuzi ya kuachana ana sababu za kumtosha yeye na mwenzi wake.
 


Mbona ninae sana tu nishamchukua mimi hapa anapa mateke tu kuwaridhisha nyie mtoto kawa kiziwi kwangu na mimi ndiyo kabisaaaa kama uzi na sindano vile
 
Samahani DA hivi hii thread yako inaongelea wanaume waliooa tu, vip hawa kaka zetu wanaoacha Gf zao nao tusithubutu kuwapenda?

Waliooa tu my dear kama hajaoa ruksa huyo hajafanya maamuzi ya mwisho bado.
 
Honey mbona yamefika mbali tena? Unaniogopesha xmas bado kidogo usisahau nimekualika kama ntakuwepo A town.

Ha ha ha ha ha Derimto karibu chat room ha ha ha ha ushajiunga tayari
 
Mbona ninae sana tu nishamchukua mimi hapa anapa mateke tu kuwaridhisha nyie mtoto kawa kiziwi kwangu na mimi ndiyo kabisaaaa kama uzi na sindano vile

Derimtoooo utachakachuliwa sasa hivi hujajua bado shauri yako ngoja Kimey aje
 
Derimtoooo utachakachuliwa sasa hivi hujajua bado shauri yako ngoja Kimey aje

Dena hiyo ni fimbo ya mbali hauiwi nyoka!

Let us Back 2topic

Kwa uzoefu wangu ni kuwa mwanaume mara nyingi ndiyo wanawafuata wanawake na hivyo kufanya kuwa mahusiano kushikiliwa na mwanaume na pale inapotokea shida mwanaume ndiyo anakuwa wa kwanza kufanya maamuzi na hatoi nafasi kwa mwanamke na hivyo mwanamke kuwa mtekelezaji tu wa maamuzi ya mwanaume kitu ambacho siyo sawa.

kwa maana hiyo basi wanawake wantakiwa kuwa waangalifu sana na maamumuzi na machaguo wanayoyafanya kwenye maisha ya kila siku ili kuepuka kuumizwa au kupata shida na maamuzi ya wanaume yasiwaathiri kimaisha.
 

Now you are talking nimekugongea na thanks mapema leo
 
Kimey "mpango wa nje" utamuharibu jamaa ni mbishi hataki kusikia ngoja yaje yamkute kama yaliyomkuta yule jamaa pale rombo green view.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…