KK pole sana lakini nimesema niliyoshuhudia sio research ya nchi nzima tafadhali nielewe
Dena kwa ili jambo mpaka liitwe research huwa linakuwa na sifa zipi? Hata kama hujasema kuwa ni research, tambua hiyo uliyoifanya inasifa zote za kuitwa research, huwezi ukafikia kuchunguza wanaume 25, bado ukadai sio research, rejea sifa za research ni zipi hapo ndo utaelewa nini ulichokuwa unakifanya!!