Hapo mpwa hilo chimbo ukija siku moja na uhakika kikosi chote cha JJ kitahamia pale uzuri kuna mjengo hapo hapo.
habari yake fidel80, muzee wa updates za mijengo, punguzo la bei na pia misiba ya wana-mmsc
Ngoja nitafute mawani yangu kwanza
habari zilizonifikia nimeambiwa yuko na da sophy wa usalule
fidel nahisi ukitoka uko uvunguni tutaelewana zaidi,,ndo nini tena??hahaha
Habari yake Fidel80, muzee wa updates za mijengo, punguzo la bei na pia misiba ya wana-MMSC
alikuja teamo alimanusura ajisahau kuwa aliloweka nepi za binti yetu kichanga zinahitaji zianikwe
Fidel nahisi ukitoka uko uvunguni tutaelewana zaidi,,ndo nini tena??hahaha
kimey yuko kny mafundisho maalum na zd kwa ajili ya ubatizo,,yatakushinda
ha ha ha ha habari yake banaaa "mpango wa nje"
Mpwa siku moja karibuni sana pale Tip top chimbo jipyaaa muulize Teamo alipiga supu ya kuku wa kienyeji tetea mpaka akanyoosha mikono
mpwa siku moja karibuni sana pale tip top chimbo jipyaaa muulize teamo alipiga supu ya kuku wa kienyeji tetea mpaka akanyoosha mikono
mpwa hivi a town lini? Usisahau kazi za nje
Habari zenu wote.
Katika pita pita zangu nimekutana na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza sana. Katika wanaume 25 walioachana na wake zao (niliowafanyia uchunguzi) hawawi na mapenzi tena. Kama kuna msichana humu akikutana na mwanaume kama huyu namshauri akae mbali nae kabisa na uweze kujiuliza maswali yafuatayo:
1. Kwanini aliachana na huyo mkewe??
2. Wewe unakipi kipya hasa ambacho utamfanya asikuache kama huyo mwingine??
3. Kakufuata wewe kwa sababu gani??? (Pesa, uzuri, nk)
4. Alikuwa anatafuta pa kupumzika then ale kona lakini ukambana akashindwa kuchomoka
5. Endeleza na sababu zako nyingine nyingiiiiiiiiiii
NB: Usikubali kuolewa na mwanaume alieacha mkewe wa ndoa kamwe!!!!!!!!!!!!!!!11
tip top si ni karibu tu na shekilango ilipo rombo green view.....siji kabisa maeneo ya karibu na hapo
Mbado nipo kwenye mchakato mama usijali lazima nikutendee haki mm nawewe tena ni kama samaki na maji.
kuna mtu kanionea wiselady? Mkimwona mwambieni babu anamtafuta:teeth::teeth::hungry::hungry:
kama kawa kazi yangu ya nje ni wiselady kwahiyo ndio maana unaona nimetulia