Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Mzee wa lami............ Hakuna Dar Wing....Ni hedikota hapa.

Just a phone all or sometimes a beep....watu tunatua makao makuu kwa ajili ya kikao cha kawaida.

Cha dharura akibeep katibu mnyama kilo sita anaanza kuungua pale JJ. hebu beep au mwambie katibu abeep basi dah! Valeur inajaza kaunta tu pale JJ.

Babu umenena....ila lazima kuwe na tofauti kati ya kikao cha kumpongeza bigirita kwa post nzuri ya leo, na kile cha holiday season

Fidel amependekeza kiwanja kipya chenye mjengo kabisa ili mpango mzima uende sambamba

WEWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
 
jamani samahani hivi sisi jf dar wing tuna mpango gani na hii holiday season
Mkuu,
Hakuna haja ya kuuliza hilo..
Mambo iko huku kunako....!
Arusha Wing ndio mwisho wa Matatizo!
 
mzee wa lami............ Hakuna dar wing....ni hedikota hapa.

Just a phone all or sometimes a beep....watu tunatua makao makuu kwa ajili ya kikao cha kawaida.

Cha dharura akibeep katibu mnyama kilo sita anaanza kuungua pale jj. Hebu beep au mwambie katibu abeep basi dah! valeur inajaza kaunta tu pale jj.

Habari yake banaaa eliza, hivi babu kuna tofauti hapa na eliza wa kichina
 
Fidel amependekeza kiwanja kipya chenye mjengo kabisa ili mpango mzima uende sambamba

Yeah mambo ya Rombo Green View au sio mpwa hapo si pengine ni Tip top Connection
 
Me loves Babu a lot,,hebu pokea hii kwa utangulizi:A S kiss:
Una bahati leo nipo busy na wapiga kura! Ngoja niendelee kujibu maswali kwa nn kilimo hakiwalipi then ntarudi!
 
Back
Top Bottom