Wasichana wa JF ambao hamjaolewa


Babu umenena....ila lazima kuwe na tofauti kati ya kikao cha kumpongeza bigirita kwa post nzuri ya leo, na kile cha holiday season

Fidel amependekeza kiwanja kipya chenye mjengo kabisa ili mpango mzima uende sambamba

WEWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
 
jamani samahani hivi sisi jf dar wing tuna mpango gani na hii holiday season
Mkuu,
Hakuna haja ya kuuliza hilo..
Mambo iko huku kunako....!
Arusha Wing ndio mwisho wa Matatizo!
 

Habari yake banaaa eliza, hivi babu kuna tofauti hapa na eliza wa kichina
 
Fidel amependekeza kiwanja kipya chenye mjengo kabisa ili mpango mzima uende sambamba

Yeah mambo ya Rombo Green View au sio mpwa hapo si pengine ni Tip top Connection
 
Yeah mambo ya Rombo Green View au sio mpwa hapo si pengine ni Tip top Connection

Mkuu umeshajiandaa kutoa maelezo yakitokea ya rombo green view nini?
 
Me loves Babu a lot,,hebu pokea hii kwa utangulizi:A S kiss:
Una bahati leo nipo busy na wapiga kura! Ngoja niendelee kujibu maswali kwa nn kilimo hakiwalipi then ntarudi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…