Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Nena,Sina uhakika sana na utafiti ulio ufanya kama ni wakweli,na ulicho andika.ulicho andika kina uongo mwingi.
 
We Bacha kwani wewe unataka kuniambia wewe ni sawa na Kimey, The Finest, Baba Enock, nawengine hata nyie hamfanani??? Na kumbuka mwanaume hasifiwi kwa kula anasifiwa kwa kutenda haki kwenye 6x6

ok, rudi kwa topic!mwanaume alieacha mke ana mapungufu gani ambayo wewe unakwazika nayo pindi akikutaka!labda utufahamishe kwanza hilo!!!
 
ok, rudi kwa topic!mwanaume alieacha mke ana mapungufu gani ambayo wewe unakwazika nayo pindi akikutaka!labda utufahamishe kwanza hilo!!!

Hawana mapenzi tena hao tayari wameshaona kila mwanamke yuko hivyo hawezi kukupenda tena huyo atapretend tu likitokea kosa kidogo lazima atasema walewale kama aliyeondoka ha ha ha ha. Bacha vipi umeacha mke na kuoa tena???
 
kiukweli hata vidole havilingani,,kwa hiyo hata binadamu awe mwanaume/mwanamke lazma tutofautiane kwa kila kitu,,na tumeumbwa hivyo kwa maksudi kabisa.

sasa kwanini kipindi mwanaume anapomwacha mke, watu tunakimbilia kusema mwanaume ndo ana matatizo!Na tayari Dena anameshatoa hukumu kwa kusema kuwa mwanamke asilogwe kuolewa nae!!!!!
 
Lizzy umesema mwenyewe sio maneno yangu nazungumzia mwanaume aliyeacha mke wake wa ndoa. Si mwanamke aliyeacha mume wala kukimbia mtoto sawa my dear??? Huyu mwanaume kaachwa hajaacha elewa tofauti my dear
 
sasa kwanini kipindi mwanaume anapomwacha mke, watu tunakimbilia kusema mwanaume ndo ana matatizo!Na tayari Dena anameshatoa hukumu kwa kusema kuwa mwanamke asilogwe kuolewa nae!!!!![/QUOTE]

Na nitaendelea na msimamo huo SITABADILI
 
Hawana mapenzi tena hao tayari wameshaona kila mwanamke yuko hivyo hawezi kukupenda tena huyo atapretend tu likitokea kosa kidogo lazima atasema walewale kama aliyeondoka ha ha ha ha. Bacha vipi umeacha mke na kuoa tena???

Hebu soma hii signature yako hapa:

I will be fine, guys are like daladala if you miss one, another one will be along soon!!!!!!

Ndo maana naamimi hata yule mwanaume alieacha mwanamke, so long as yupo single kwa muda huo anaweza kuambatana na wewe!!!!
 
sasa kwanini kipindi mwanaume anapomwacha mke, watu tunakimbilia kusema mwanaume ndo ana matatizo!Na tayari Dena anameshatoa hukumu kwa kusema kuwa mwanamke asilogwe kuolewa nae!!!!!

gender yote hapa ina aply,,na alichofanya dena ni kutoa angalizo kwa upande mmoja,ila nijuavyo mimi bado anakuja na upande wa pili.vinginevyo,wote wanaume kwa wanawake wanapaswa kuwa makini kabla ya kujicommit kny relationship ya aina hii ingawa sio zote zina matatizo.
 
Na ndio maana nimebadili signature kwa sababu ya hii thread makusudi
 
Lizzy umesema mwenyewe sio maneno yangu nazungumzia mwanaume aliyeacha mke wake wa ndoa. Si mwanamke aliyeacha mume wala kukimbia mtoto sawa my dear??? Huyu mwanaume kaachwa hajaacha elewa tofauti my dear

Ndiko wanapoelekea mama!Fikiria huyo mwanamke akiamua kurudi mume akamkimbiza na talaka yeye ndo atakua ameacha!Ukikutana nae kubla hujajua story yake yoke ushamkimbia!!Ndo maana kuuliza...
 
Ya kuacha mwanamke ina siku yake leo ni ya wanaume
 
Ndiko wanapoelekea mama!Fikiria huyo mwanamke akiamua kurudi mume akamkimbiza na talaka yeye ndo atakua ameacha!Ukikutana nae kubla hujajua story yake yoke ushamkimbia!!Ndo maana kuuliza...

Lizzy kwenye ukweli uongo hujitenga utajua tu kama huyu katendewa si haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…