MZEE SERENGETI
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 214
- 10
Nena,Sina uhakika sana na utafiti ulio ufanya kama ni wakweli,na ulicho andika.ulicho andika kina uongo mwingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We Bacha kwani wewe unataka kuniambia wewe ni sawa na Kimey, The Finest, Baba Enock, nawengine hata nyie hamfanani??? Na kumbuka mwanaume hasifiwi kwa kula anasifiwa kwa kutenda haki kwenye 6x6
ok, rudi kwa topic!mwanaume alieacha mke ana mapungufu gani ambayo wewe unakwazika nayo pindi akikutaka!labda utufahamishe kwanza hilo!!!
kiukweli hata vidole havilingani,,kwa hiyo hata binadamu awe mwanaume/mwanamke lazma tutofautiane kwa kila kitu,,na tumeumbwa hivyo kwa maksudi kabisa.
Kama yeye hakua chanzo cha kuachana si itakua hatendewi haki?Wanawake wengine wanashindikana Dena!Kuna mmoja kakimbia na kumwachia mume mtoto mdogm alafu hata haimuumi..sababu yake ni kwamba hakuwahi kumpenda mume aliolewa kwa ajili ya maisha tu!Sasa niambie ni haki kumwadhibu mwanaume kama huyo ambae hana kosa??Yani kaka wa watu anabembeleza mpaka unamwonea huruma...utadhani ni kosa lake!
Hawana mapenzi tena hao tayari wameshaona kila mwanamke yuko hivyo hawezi kukupenda tena huyo atapretend tu likitokea kosa kidogo lazima atasema walewale kama aliyeondoka ha ha ha ha. Bacha vipi umeacha mke na kuoa tena???
sasa kwanini kipindi mwanaume anapomwacha mke, watu tunakimbilia kusema mwanaume ndo ana matatizo!Na tayari Dena anameshatoa hukumu kwa kusema kuwa mwanamke asilogwe kuolewa nae!!!!!
Hebu soma hii signature yako hapa:
I will be fine, guys are like daladala if you miss one, another one will be along soon!!!!!!
Ndo maana naamimi hata yule mwanaume alieacha mwanamke, so long as yupo single kwa muda huo anaweza kuambatana na wewe!!!!
Lizzy umesema mwenyewe sio maneno yangu nazungumzia mwanaume aliyeacha mke wake wa ndoa. Si mwanamke aliyeacha mume wala kukimbia mtoto sawa my dear??? Huyu mwanaume kaachwa hajaacha elewa tofauti my dear
gender yote hapa ina aply,,na alichofanya dena ni kutoa angalizo kwa upande mmoja,ila nijuavyo mimi bado anakuja na upande wa pili.vinginevyo,wote wanaume kwa wanawake wanapaswa kuwa makini kabla ya kujicommit kny relationship ya aina hii ingawa sio zote zina matatizo.
Ndiko wanapoelekea mama!Fikiria huyo mwanamke akiamua kurudi mume akamkimbiza na talaka yeye ndo atakua ameacha!Ukikutana nae kubla hujajua story yake yoke ushamkimbia!!Ndo maana kuuliza...
gender yote hapa ina aply,,na alichofanya dena ni kutoa angalizo kwa upande mmoja,ila nijuavyo mimi bado anakuja na upande wa pili.vinginevyo,wote wanaume kwa wanawake wanapaswa kuwa makini kabla ya kujicommit kny relationship ya aina hii ingawa sio zote zina matatizo.[/QUOTE]
hapa umemalizia vizuri!Na umeonyesha busara ya hali ya juu Wiselady, kama jina lako lilivyo!Tatizo Dena AMEGENERALIZE......
gender yote hapa ina aply,,na alichofanya dena ni kutoa angalizo kwa upande mmoja,ila nijuavyo mimi bado anakuja na upande wa pili.vinginevyo,wote wanaume kwa wanawake wanapaswa kuwa makini kabla ya kujicommit kny relationship ya aina hii ingawa sio zote zina matatizo.[/QUOTE]
hapa umemalizia vizuri!Na umeonyesha busara ya hali ya juu Wiselady, kama jina lako lilivyo!Tatizo Dena AMEGENERALIZE......
Sijasema wote nimesema wanaume 25 niliowaona kwa macho yangu. Kwani na wewe umo nini???
Ya kuacha mwanamke ina siku yake leo ni ya wanaume
Sijasema wote nimesema wanaume 25 niliowaona kwa macho yangu. Kwani na wewe umo nini???
hahahaha!nilikuwa najaribu kumwelewesha bacha baada ya kulalamika kuwa umetoa hukumu,,,so nikamrejesha si zote
Sijasema wote nimesema wanaume 25 niliowaona kwa macho yangu. Kwani na wewe umo nini???
ulijuaje kuwa hao wote 25 wana matatizo na sio hao wanawake wao walioachwa?