Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

hebu toeni majibu ya kueleweka hapa pamoja na wiselady wako!

Leta swali hadharani uone kama hakuna majibu. Halafu leo unahasira umekasirishwa na nani huko?? Au uliacha mke nini??
 
Nimehukumu nilio na evidence nao ndo maana nikataja 25

unajua tatizo ni kwamba mtu ukishaumwa na nyoka, basi ukiona un'gong'o tu unashtuka!kuyajua haya yote ya sababu za ndoa kuachika, tena mambo ya ndani haswaaaaa, na mwisho ukaja na jibu kuwa wanaume ndo walikuwa na makosa basi kwa namna moja labda ulishiriki katika kuachika kwa hizo ndoa!
Nawasilisha!!!!
 

Ha ha ha ha ha umenena vyema nilishiriki kuwaambia achaneni kwa kuwa hamtawezana tena hii sio ndoa bali ndoano. Nilishiriki haswa kikamilifu si kwa zote kama saba hivi
 
My Love:

You have nailed it!!

Ndoa ya pili huwa ni "by the way" - Agree to Disagree ili tuendelee na maisha! Ndiyo maana nyumba za ibada za "mlengo" fulani zinaelekeza kuwa "ndoa ni for life"! Aidha Mwanamke au Mwanaume aliyeachika huwa anabaki na "kovu" la maisha....
 

Ha ha ha ha ha My Darling umenitendea haki mwambie huyu Bacha asikie namweleza haelewi. Nimekugongea na Thanks kwa msisitizo
 
Ana lake jambo huyu si bure kaacha mkewe wa ndoa basi imemtachi ndo maana kawa hivyo ninaye tu simwachi

wacha niwe mshika kibendera,,lol lkn isikute ameelewa ila amenogewa na motion
 
Ha ha ha ha ha umenena vyema nilishiriki kuwaambia achaneni kwa kuwa hamtawezana tena hii sio ndoa bali ndoano. Nilishiriki haswa kikamilifu si kwa zote kama saba hivi

Sasa hilo ndo tatizo!NDOA na isiingiliwe na mtu baki jamani!sasa hapo utamlaumu mwanaume kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…