Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Mwenzangu majukumu si unajua tena.....n kweli anatia huruma...halafu wanajuaga kudeka hao asikwambie mtu ili mradi tu afanikishe lengo lake

Very true kumbe unawajua eeehhhh umenifurahisha sana hapa.
 
Sayu aidomaa??? Hatujifurashi bwana ndoa ndoana ndo hiyo inatakiwa kuvumiliwa na sio kuachana

ai'dorii bar'geeri! Mimi nilikuwa na mtazamo kama wewe lakini kuna watu wanaungua na moto kwenye hizo ndoana na hawawezi kuvumilia kabisa
 
Habari zenu wote.

Katika pita pita zangu nimekutana na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza sana. Katika wanaume 25 walioachana na wake zao (niliowafanyia uchunguzi) hawawi na mapenzi tena. Kama kuna msichana humu akikutana na mwanaume kama huyu namshauri akae mbali nae kabisa na uweze kujiuliza maswali yafuatayo:
1. Kwanini aliachana na huyo mkewe??
2. Wewe unakipi kipya hasa ambacho utamfanya asikuache kama huyo mwingine??
3. Kakufuata wewe kwa sababu gani??? (Pesa, uzuri, nk)
4. Alikuwa anatafuta pa kupumzika then ale kona lakini ukambana akashindwa kuchomoka
5. Endeleza na sababu zako nyingine nyingiiiiiiiiiii

NB: Usikubali kuolewa na mwanaume alieacha mkewe wa ndoa kamwe!!!!!!!!!!!!!!!11

Je, na upande wa pili ni sahihi? Yaani wale wake wa ndoa walioachwa wasiolewe tena? Hivi unaongelea ndoa gani? Kwani kuna dini nyingine wanaita vyuo kuolewa mara nyingi.

Kwa hiyo unatupa experience yako ya kutembea na wanaume walioacha wake zao na baada ya muda mfupi wakakumwaga na wewe. Maanake niliona thread yako moja ikitaka infidelity na kutoa qualities za wanaume ikiwemo kama sikosei ya mume wa mtu, sasa huoni kama wenye matatizo ni wanawake?

Nahisi unataka kupunguza tu competition!
 
Dena, sijasema nataka kuachika, sithubutu hata kutamani kuachika. nimesema nilikuwa nam-hold mzee asije akaniacha

Ha ha ha asije kukuacha aahhh usimdhanie vibaya bwana. Hakuachi huyo hajawahi kuacha mke hata siku moja
 
Wameniharibu tangu nianze kazi huko its very true

ndo maana nikawa najiuliza DA, leo umetoa wapi thread hii ya kupotosha wenzako!kumbe kuna reason behind, maskini TGNP wameshamchakachua huyu bidada!!!!!
 
Je, na upande wa pili ni sahihi? Yaani wale wake wa ndoa walioachwa wasiolewe tena? Hivi unaongelea ndoa gani? Kwani kuna dini nyingine wanaita vyuo kuolewa mara nyingi.

Kwa hiyo unatupa experience yako ya kutembea na wanaume walioacha wake zao na baada ya muda mfupi wakakumwaga na wewe. Maanake niliona thread yako moja ikitaka infidelity na kutoa qualities za wanaume ikiwemo kama sikosei ya mume wa mtu, sasa huoni kama wenye matatizo ni wanawake?

Nahisi unataka kupunguza tu competition!

Ha ha ha umekuja kushakucha mkuuu
 
usihofu Husninyo wewe tena?sema kingine!lakini kiafya, zile zinazoongezeka ujazo ndo nzuri, protein ya kumwaga inapatikana!!!

zina kauchungu fulani hivi ndio maana sizipendagi.
 
Sijasema research ni kwamba niliyowashuhudia kwa macho yangu. Hao wanaoolewa waulize kinachowapata huko ndani

Kuwashuhudia kwa macho yako mara 25 ni moja ya research methods - observation, na ku-conclude; hivyo ulichokifanya ni research.
 
Ha ha ha asije kukuacha aahhh usimdhanie vibaya bwana. Hakuachi huyo hajawahi kuacha mke hata siku moja
Na ananishikilia kikweli kweli...nlishamuomba na limbwata aninyweshe kabisa. Likiisha naenda kununua mwenyewe nampa aniwekee.
 
ai'dorii bar'geeri! Mimi nilikuwa na mtazamo kama wewe lakini kuna watu wanaungua na moto kwenye hizo ndoana na hawawezi kuvumilia kabisa

Poa watabana wataachia tu nasi naasi
 
The best punishment to a person stealing ur spouse is to let him/her have ur spouse,jumla jumla.Aonje joto ya jiwe...
 
Back
Top Bottom