Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

DA,

Ingawa sikubaliani na jinsi ulivyofanya utafiti wako (the methodology has some degree of fraud) ila kuna vitu ambavyo vinaweza kuwa kweli na wakati mwingine siyo lazima viwe kweli.

Hata hivyo ni muhimu watu kujua kuwa plan A siku zote haiwezi kuwa plan B na kwa hiyo inapotokea mtu unakaribia kuwa B basi usiache kujiuliza maswali magumu hata kama hutapata majibu siku hiyo. Siku majibu ukianza kuyapata itakuwa nafuu kuliko mtu anayevamia issues akiwa blind!

Babu DC
 
Babu umeona ehee huyu DENA anapenda sana chakachua style kwanza alichakachua ushindi wangu sasa ameamua kutuchakachua wanaume
 
hii ni ''the other way'' of glorifying ''mpango mzima'' BILA KUSIKIA/KUTAJA

SISI TULIOOA ndo vile tunaendelea ''kushain''.......!summary ya thread ya dena ni kwamba hawa wakinamama ambao wako singo wawe na sisi TULIOOA!

HABBARR ZETU TULIOOA BANAAAAA?

LONG LIVE ''MPANGO MZIMA''
mtoto ajambo?
 
Habari zenu wote.

Katika pita pita zangu nimekutana na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza sana. Katika wanaume 25 walioachana na wake zao (niliowafanyia uchunguzi) hawawi na mapenzi tena. Kama kuna msichana humu akikutana na mwanaume kama huyu namshauri akae mbali nae kabisa na uweze kujiuliza maswali yafuatayo:
1. Kwanini aliachana na huyo mkewe??
2. Wewe unakipi kipya hasa ambacho utamfanya asikuache kama huyo mwingine??
3. Kakufuata wewe kwa sababu gani??? (Pesa, uzuri, nk)
4. Alikuwa anatafuta pa kupumzika then ale kona lakini ukambana akashindwa kuchomoka
5. Endeleza na sababu zako nyingine nyingiiiiiiiiiii

NB: Usikubali kuolewa na mwanaume alieacha mkewe wa ndoa kamwe!!!!!!!!!!!!!!!

NB: 2. Pia usikubali kuoa janajike lililoachika kwa mmewe

....loh! ...sie 'wajane' wake kwa waume tuna kazi
kwa hukumu hii, kuna haja ya kuanzisha topiki kutafuta mjane mwenzangu humu :A S 33::A S 33:
 
Samahani DA hivi hii thread yako inaongelea wanaume waliooa tu, vip hawa kaka zetu wanaoacha Gf zao nao tusithubutu kuwapenda?
 
Usipotoshe watu ndugu yangu. mimi nimeacha mke na nikaoa miaka miwili sasa, tuna mtoto na tunaishi kwa raha mstarehe japo ilikuwa ndoa ya kikatoliki. Mzee malecela ameoa mke aliyeachika, mbona wanaishi vizuri tu. Mke wangu mimi ilikuwa mkikwaruzana tu anajifungia ndani. uwe ulikuwa nje huingii tena ndani hadi uite majirani au ndugu zake. kama mpo ndani atakimbia kufunga milango na yeye kujifungia chumbani. nje huwezi kutoka na chumbani huingii. Wanawake aina hiyo hata kumi nitawaacha
Halafu nimegundua wanawake wanapenda wanaume waliooa na kuacha
 
Mwambie Dena akonkludi sred yake tuanze :argue::kiss::whoo:kwa ajili ya xmass.

Honey mbona yamefika mbali tena? Unaniogopesha xmas bado kidogo usisahau nimekualika kama ntakuwepo A town.
 
Honey mbona yamefika mbali tena? Unaniogopesha xmas bado kidogo usisahau nimekualika kama ntakuwepo A town.

Huh!kumbe tayari nna mwaliko!!cammon,,hii tuipeleke chamber zaidi :A S-alert1:
 
Huh!kumbe tayari nna mwaliko!!cammon,,hii tuipeleke chamber zaidi honey:A S-alert1:

Kimey yuko dunia gani jamani ....ka bado yuko counter ya juu lazima ateremke sasa....
bibie anachukuliwa mchana machana....
TF naomba ongea na WL asije muumiza Kimey...
 
Kimey yuko dunia gani jamani ....ka bado yuko counter ya juu lazima ateremke sasa....
bibie anachukuliwa mchana machana....
TF naomba ongea na WL asije muumiza Kimey...

Afu nimekumiss we mtoto,,umefichwa wapi???acha unoko Kimey hana mpinzani
 
Afu nimekumiss we mtoto,,umefichwa wapi???acha unoko Kimey hana mpinzani

hahahah lol hata mi ni me ku miss sana mama wa bsara wangu....
si unajua tena misukumano ya kazi na maandilizi ya x-mass..
hahaha lol

Nway naona Derimto anataka kuleta za kuleta na wewe unamkubalia tu..
mmmmmhhh trip hii huwezi tunaakesha kukulinda.. hahah lol
naona Kimey kaanza x-mass mapema ngoja nika mwambie holiday imeisha arudi..
kuna mtu anataka kukuchakachulia bibie lol hahahahha :angel::angel:
 
Kimey yuko kny semina na ZD anajiandaa kubatizwa xmass,,,,wat a joy????

Afro Afro tuendelee kuchakachua Dena kalala,,,hahaha:whoo::whoo::whoo:
 
Back
Top Bottom