Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

wiselady if u r wise enough niambie kwani josephine mushumbusi sio mwanamke? Kwanini na yeye asipewe huu ushauri?




hauna lolote unless huo ushauri uwe umewalenga watu fulani fulani lakini kama ni wa wanawake wote basi hata josephine mushumbusi inadibi mumshauri.

World Cup vs Nje Cup
Mpango Mzima
vs Mpango wa Nje
 
Wiselady if u r wise enough niambie kwani Josephine Mushumbusi sio mwanamke? kwanini na yeye asipewe huu ushauri?







Hauna lolote unless huo ushauri uwe umewalenga watu fulani fulani lakini kama ni wa wanawake wote basi hata Josephine Mushumbusi inadibi mumshauri.

print ummpelekee...ulikuwa huna haja ya kumtaja humu if you care for her that much....!
 
Tatizo we dada una mastress sana na maisha ya kimapenzi kiasi kwamba unataka kuwambukiza na mabinti wa watu. Una matatizo kuliko matatizo yenyewe
 
tatizo we dada una mastress sana na maisha ya kimapenzi kiasi kwamba unataka kuwambukiza na mabinti wa watu. Una matatizo kuliko matatizo yenyewe

Jukwaa la MMU hakuna Stress actually ni STRESS FREE
 
Tatizo we dada una mastress sana na maisha ya kimapenzi kiasi kwamba unataka kuwambukiza na mabinti wa watu. Una matatizo kuliko matatizo yenyewe

:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth: Tuheshimiane tafadhali "Don't judge the book.........""""
 
Back
Top Bottom