The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wiselady if u r wise enough niambie kwani josephine mushumbusi sio mwanamke? Kwanini na yeye asipewe huu ushauri?
hauna lolote unless huo ushauri uwe umewalenga watu fulani fulani lakini kama ni wa wanawake wote basi hata josephine mushumbusi inadibi mumshauri.
saa nyingine una akili ila thanks leo sikupi idadi itazidi niliyopanga
hizi bia za leo mbona hazileweshi? Labda niongeze na viceroy
Mbona nishamwonaga.........tena anadai inamfanya acheue coz mibia inamshibisha sana!!Thubutu hawezi jaribu hata siku moja wewe labda kanywe wewe
Wiselady if u r wise enough niambie kwani Josephine Mushumbusi sio mwanamke? kwanini na yeye asipewe huu ushauri?
Hauna lolote unless huo ushauri uwe umewalenga watu fulani fulani lakini kama ni wa wanawake wote basi hata Josephine Mushumbusi inadibi mumshauri.
tatizo we dada una mastress sana na maisha ya kimapenzi kiasi kwamba unataka kuwambukiza na mabinti wa watu. Una matatizo kuliko matatizo yenyewe
Mbona nishamwonaga.........tena anadai inamfanya acheue coz mibia inamshibisha sana!!
bigirita hata wewe unasema maneno hayo???
Tatizo we dada una mastress sana na maisha ya kimapenzi kiasi kwamba unataka kuwambukiza na mabinti wa watu. Una matatizo kuliko matatizo yenyewe
:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth: Tuheshimiane tafadhali "don't judge the book.........""""