Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
haya haya mtu mzima.....!Forget about batling. Kalee mwanao kwanza. Nadhani pia kesi uliyonunua ushahidi umeteketea so no case. Mpe salamu dena. mwambie atanikuta kule kwa wakubwa. nawe ukitaka utanikuta huko pia
MUZEE YA G-SPOT
ila pale ulitisha muzee!
i appreciate a lots,ngoja nikamlee mjombaako basi
I AM OUT