Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Tafuta mdogo wako ukae naeNaombeni ushauri tutapataje mmama wa kudumu??
Sina kakaTafuta mdogo wako ukae nae
Cheki hata Watoto wa mama zako wadogo au shangaziSina kaka
Siku hizi karibia wote ni pasua na usipokaa chonjo wanafanya mapinduzi kama yale ya zenjiber sio haya ya kilimoNaombeni ushauri tutapataje mmama wa kudumu??
Naombeni ushauri tutapataje mmama wa kudumu??
Game Over.Cheki hata Watoto wa mama zako wadogo au shangazi
Tafuta mkaka wa kazi.. wapo kibaoNaombeni ushauri tutapataje mmama wa kudumu??
Mshana hao viumbe acha ni watam balaaa. Nishadonokea kwa mmoja nusra nichonge mzinga. Maana unapomhitaji yupo available kwa wakati unaotaka wewe. Sio hawa tunaowaoa visingizio milioni elfumojaSiku hizi karibia wote ni pasua na usipokaa chonjo wanafanya mapinduzi kama yale ya zenjiber sio haya ya kilimo
Kweli Sina mkuuCheki hata Watoto wa mama zako wadogo au shangazi
Pasua kichwa sio mchezoSiku hizi karibia wote ni pasua na usipokaa chonjo wanafanya mapinduzi kama yale ya zenjiber sio haya ya kilimo
Sijawai kusema hivo labda sio mimiYule aliyetongozwa mlimani city alishaondoka?
Tutakoma yaaniNimempata mmoja recently toka mafinga huko...
Ana watoto mapacha.
Naona anajielewa ila simu yake sasa. Waume zake nafikiri washashikwa nyege huko..ni full busy.
Yani niko standby kwa lolote anytime.
Akinibaka na mtoto je?Tafuta mkaka wa kazi.. wapo kubao
Okay..Sijawai kusema hivo labda sio mimi
Halafu they are very humbleMshana hao viumbe acha ni watam balaaa. Nishadonokea kwa mmoja nusra nichonge mzinga. Maana unapomhitaji yupo available kwa wakati unaotaka wewe. Sio hawa tunaowaoa visingizio milioni elfumoja
unataka kusema unaishi wewe na mtoto tu??Akinibaka na mtoto je?