Wasichana wa kazi wanatutesaje

Siyo kweli, mwanamke kuolewa haimaanishi ni yeye tuu, kuna sababu nyingi sana zinatusababisha wanaume kuoa, wengine mapenzi, utulivu, watoto, walinzi, wasaidizi(amini kuna mtu anaoa ili afuliwe, apikiwe, asafishiwe nyumba n.k)
 
Duuuh , hii naisikia leo jamani, kwani kupika na kufua si uajiri housegirl tu, kwa nini uingie kwenye such huge commitment kwa ajili tu ya kupikiwa na kufuliwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wife alipiga mahesabu akaona hapaa amekwishaaa...
 
Duuuh , hii naisikia leo jamani, kwani kupika na kufua si uajiri housegirl tu, kwa nini uingie kwenye such huge commitment kwa ajili tu ya kupikiwa na kufuliwa
Jaribu kufanya utafiti..
 
Sema kuna wadada wa kazi wanajua kubanaa kudadekiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimempata mmoja recently toka mafinga huko...

Ana watoto mapacha.

Naona anajielewa ila simu yake sasa. Waume zake nafikiri washashikwa nyege huko..ni full busy.

Yani niko standby kwa lolote anytime.
watoto amekuja nao?
 
Mshana hao viumbe acha ni watam balaaa. Nishadonokea kwa mmoja nusra nichonge mzinga. Maana unapomhitaji yupo available kwa wakati unaotaka wewe. Sio hawa tunaowaoa visingizio milioni elfumoja
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] wife hatoi game sio[emoji2][emoji2]
 
wanawake huwa wana roho mbaya baina yao.mimi housegirl wangu atakula bata hata watu hawatojua kama ni housegirl
 
housegirls siku hizi ni moto
baada ya wewe uwapige interview wao wanakupiga wewe
mara nyumba ina watoto wangapi watu wanakaa mda gani nyumbani nyumba ina ukubwa gani duh
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hilo ni tatizo la hao single mother. Wakishatulia yeye na mwanae wakapata nguvu anawasiliana na waliomtelekeza anatoa udhuru. Hatarudi tena. Yaani unatumika kumlea yeye na mtoto akikua kidogo sahau ataondoka tu.
vipi una uzoefu katika hilo?
 
vipi mumeo hajawahi mtolea macho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…