Wasichana wa kazi wanatutesaje

Wasichana wa kazi wanatutesaje

Mfanye mkeo ajiamini kwako hata kama anakutana na mwanamke wa namna gani, inaonekana there is a way mkeo hajiamini kabisa na hii uneisababisha wewe

Kama umemuoa that means you chose her over everyone else, na that means she is the best kuliko yeyote uliyewahi kumwona, maintain hiyo hali kwake kwamba yeye ni best katika wote na hutamwona hata siku moja akiwa na wivu wa hovyo hata kwa madada wa kazi

If you underrate her, then sh will never feel safe hata mbele ya dada zako
kwamba ampende sana au
 
nakumbuka wife alisema anataka HG nikamtafutia, yule bint alifika home nikiwa sipo na wife akamtimua the same day kabla sijarudi.... nikasema wacha nitafute hata picha ya huyo bint nimuone maana nilitafutiwa, baada ya kumcheki kwenye picha nikaconclude kua wife alikua na haki kabisa kumtimua maana lile lilikua balaa.
alikuwa wa wapi huyo house girl?
 
tafuta msaidizi ambae angalau ana mtoto mmoja .huyo atakaa na ataheshimu kazi maana tayari ana majukumu.hawa wengine ni pasua kichwa.wewe unatoka haipiti dk 30 nae analeta msela humo nyumbani
Hata usiseme mkuu!!hakuna mwenye afashali. nimewahi kuwa nao wawili ila huyu wa mwisho ilikua balaa, kutwa ni kulala akiamka na simu na kazi yeye ilikia kuosha vyombo tu tena muda anaotaka yeye. Na hapo nilimpokea akiwa na mwanae wa mwaka mmoja sasa ikawa watoto wangu hana muda nao hata hata kidogo. Nilichofanya nilimpa tu nauli arudi alilotoka na alikaa wiki mbili tu.
 
aiseee[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
kwamba ampende sana au
Kumfanya mke ajiamini inamaanisha ni wewe kumjengea kukuamini hata akukute na mwanamke kisu namna gani, hana wasiwasi kwa sababu anakuamini

Sasa huyo mleta mada anatamka hadharani HG ni kisu balaa hata ningekuwa mimi wife wake ningemtimua huyo HG,

Kwa kifupi alichokifanya wife, inaonyesha kabisa jamaa haaminiki kwa mke wake, ni funua funua sasa mke akaona kuliko aje afunulie hapa hapa nyumbani bora amtimue halafu aendelee kufunua huko huko barabarani
 
nimekupata
 
Sasa jamani hamtaki agegedwe....kugegedana ni basic human need.

Yaani mie ningekuwa mtawala hii mambo ya watu kuishi na house gelo hamna kabisa...mdada ana minyege yake wee unataka atulie ndani tuu...
Ila kweli, unaweza kuta pia mtafutaji yeye ni single maza, na amezalishwa kutokana na minyege yake.
 
Mshana hao viumbe acha ni watam balaaa. Nishadonokea kwa mmoja nusra nichonge mzinga. Maana unapomhitaji yupo available kwa wakati unaotaka wewe. Sio hawa tunaowaoa visingizio milioni elfumoja
Mkuu

Kama una roho ngumu ya kula hadi housegirl kwenye nyumba yako,it is a matter of time unaweza hata kula mabinti zako!

Kula housegirl ni uonevu kabisa!
 
Mkuu

Kama una roho ngumu ya kula hadi housegirl kwenye nyumba yako,it is a matter of time unaweza hata kula mabinti zako!

Kula housegirl ni uonevu kabisa!
Wanasave sana ndoa nakuambia.

Kuwa mpole and cooperative
 
Wanasave sana ndoa nakuambia.

Kuwa mpole and cooperative
Brother

Siwezi kua na njaa hadi kula housegirl....

That means hadi wafagizi wa ofisini kwenu unaweza wala?

Dada tea girl wa ofisini unaweza kula?

Muuza duka au genge mtaani kwako unaweza kula?

Au marafiki wa mkeo au ndugu zake or anything?

Huna maana wewe,huna justifications za kipumbavu hivyo!
 
Acha kujiapiza.
Acha kujikweza,

Hao wote uliowataja nimeshawahi kupitia kasoro siwezi kula rafiki za mke wangu... usimdharau mwanamke kwa sababu ya level yake lakini anaweza kuwa handy in possible times

Ya sirini yanabaki kuwa sirini.

Kuwa mpole. Wanaokoa ndoa full stop.
 
Mara nyingine nyie akina mama wenye nyumba hamuishi nao kwa wema hawa mabint...

Mnawalundikia mikazi mpaka ambazo ni jukumu lenu(kufua vyupi vyenu na waume zenu)

Mnatafuta dada wa kazi kwa sababu ya uvivu sio kusaidiwa kazi

Na yeye ni binadamu mfanyie ukarimu muda mwingine msaidie anajenga uupendo na wewe...kuna umbea mwingine anaweza kukushirikisha..

Muamini, Atakuamini atajiamini sana endapo ukimtendea wema uadilifu na ukarimu atakuheshimu...sio alie yeye jikoni nyie mezani kuleni wote...usiwe mtu wa kumtilia tilia shaka tu...HAKUNA MTU ANAYEPENDA KUTOAMINIKA...HATA WEWE HUPENDI...

Mnawakaripia karipia sana...ondoeni hiyo akili chafu mliyonayo vichwani mwenu yaani kidogo mnawatolea kauli kali kama watoto zenu...

Msimkaripie mbele za watoto wenu, na ikiwezekana wakaripie watoto wako na wawajibishe mbele yake ili wamuheshimu...sio mnawatetea watoto wenu wakikosea kutwa kuwagombeza wao...

Sema nae vema na mwache afanye kazi kwa wastani...sio kwa sababu wamlipa ndio umlundukie kazi saa 24...huo ni utumwa na roho mbaya...

Acheni kutia HILA chakula wanachopika...MSIKISIMANGE CHAKULA CHAO...kama acha usile alafu sema nae kwa wema...

Usiisimange kazi aliyoifanya, sio kakosea kidogo tu UNAMSIMANGA, hujaridhika fanya wewe mwenyewe...KWANZA NDIO JUKUMU LAKO LA MSINGI...

Ukiwaletea watoto wako zawadi mletee na yeye...

Mshirikishe katika ibada zako kama mpo dini moja, ikiwa yupo tofauti MPE MUDA WA KUABUDU DINI YAKE...USIMNYIME FURSA HIYO...

ZINGATIA: huyu ni MSAIDIZI WA KAZI...

WATENDEENI WEMA, UKARIMU NA UADILIFU HAWA WATU...MTAONA MATUNDA YAKE...

ALLAH AWAONGOZE...
Nimependa sana hapa.
 
Back
Top Bottom